Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Kweli kweli kwa Ukawa, kuna raha ajabu......ohoho ohohoho lulu ohohoh lulu mhmmmmmmmmmmmmmmmmm.......mhmmmmmmmmmmmmmmmmmwana jamvi chadema ni chama ambacho kinapendwa sana na watanzania wengi kwakua kimejijenga vizuri kwa sera na kuwatetea wanyonge bungeni angalia ujue kuwa chadema inapendwa; 1; walio timuliwa chadema a.k.a wasaliti bado wanaipend chadema angalia wanatoa matamko wakijifanya wao chadema hata kama wamehamia vyama vipya lakini bado wanajinadi kama wasemaji wa chadema..wawooo! ;2;kwenye mikutano ya hadhara ya chadema wananchi wanakwenda kwa nauli zao,kwa miguu yao,beiskali,piki piki,magari yao bila malipo kwakua chadema ni tumaini jema kwa watanzania wote; 3;magazeti na media nyingine bila kuandika chadema hupati wateja hata yale magazeti ya ccm yanalazimika kuandika propaganda dhidi ya chadema ili mradi tu wapate wateja; 4;vifaa na kombati za chadema za uzwa hazitolewi bure kama ccm lakini wananchi mpaka maskini wanajitahidi una wakuta wamenunua kwakua chama chao wakipenda ; 5; makundi yote katika jamii wanaipenda chadema ila wale mafisadi na mazuzu wachache wasio jitambua
Yaani ninavyoipenda Chadema na Ukawa kwa ujumla....wife akinibishia tu chochote kuhusu hawa amani home inatoweka ghafla!
Hadi total expendutere ya kesho yake lazima ile kwao!
Mbona kila ukiitishwa uchaguzi CHADEMA haipewi ridhaa ya kuongoza? Au inapendwa na watu gani?
Mbona kila ukiitishwa uchaguzi CHADEMA haipewi ridhaa ya kuongoza? Au inapendwa na watu gani?
Kwanini unaipenda?
Kwanini unaipenda?
Kwanini unaipenda?
hivi huoni aibu kubishana na dunia yote ?
Mbona kila ukiitishwa uchaguzi CHADEMA haipewi ridhaa ya kuongoza? Au inapendwa na watu gani?
CDM haipendwi na tume hii ya mainterahamwe.Ikiundwa tume huru na misingi ya uchaguzi wa kidemokrasia ikaafuatwa CDM inashinda kabla misa ya kwanza haiijaisha. VIVA CDM tumaini jipya kwa watz
Mbona kila ukiitishwa uchaguzi CHADEMA haipewi ridhaa ya kuongoza? Au inapendwa na watu gani?