Waliofukuzwa CHADEMA bado wanaipenda, wasamehewe

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
887
0
wana jamvi chadema ni chama ambacho kinapendwa sana na watanzania wengi kwakua kimejijenga vizuri kwa sera na kuwatetea wanyonge bungeni angalia ujue kuwa chadema inapendwa;

1; walio timuliwa chadema a.k.a wasaliti bado wanaipend chadema angalia wanatoa matamko wakijifanya wao chadema hata kama wamehamia vyama vipya lakini bado wanajinadi kama wasemaji wa chadema..wawooo! ;

2;kwenye mikutano ya hadhara ya chadema wananchi wanakwenda kwa nauli zao,kwa miguu yao,beiskali,piki piki,magari yao bila malipo kwakua chadema ni tumaini jema kwa watanzania wote;

3;magazeti na media nyingine bila kuandika chadema hupati wateja hata yale magazeti ya ccm yanalazimika kuandika propaganda dhidi ya chadema ili mradi tu wapate wateja;

4;vifaa na kombati za chadema za uzwa hazitolewi bure kama ccm lakini wananchi mpaka maskini wanajitahidi una wakuta wamenunua kwakua chama chao wakipenda ;

5; makundi yote katika jamii wanaipenda chadema ila wale mafisadi na mazuzu wachache wasio jitambua
 

Nyando

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
412
225
Hata rais pamoja na wabunge wa CCM bila kutaja Lissu pamoja na chadema hawajisikii vizuri. Kuna usemi usemao " mti wenye matunda mema ndio unapigwa mawe" Kweli Chadema inapendwa na kila mtu. Hongera chadema na jitahidi kujijenga msijali majungu ya mafisadi
 

daviey69

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
2,238
1,225
wana jamvi chadema ni chama ambacho kinapendwa sana na watanzania wengi kwakua kimejijenga vizuri kwa sera na kuwatetea wanyonge bungeni angalia ujue kuwa chadema inapendwa; 1; walio timuliwa chadema a.k.a wasaliti bado wanaipend chadema angalia wanatoa matamko wakijifanya wao chadema hata kama wamehamia vyama vipya lakini bado wanajinadi kama wasemaji wa chadema..wawooo! ;2;kwenye mikutano ya hadhara ya chadema wananchi wanakwenda kwa nauli zao,kwa miguu yao,beiskali,piki piki,magari yao bila malipo kwakua chadema ni tumaini jema kwa watanzania wote; 3;magazeti na media nyingine bila kuandika chadema hupati wateja hata yale magazeti ya ccm yanalazimika kuandika propaganda dhidi ya chadema ili mradi tu wapate wateja; 4;vifaa na kombati za chadema za uzwa hazitolewi bure kama ccm lakini wananchi mpaka maskini wanajitahidi una wakuta wamenunua kwakua chama chao wakipenda ; 5; makundi yote katika jamii wanaipenda chadema ila wale mafisadi na mazuzu wachache wasio jitambua
Kweli kweli kwa Ukawa, kuna raha ajabu......ohoho ohohoho lulu ohohoh lulu mhmmmmmmmmmmmmmmmmm.......mhmmmmmmmmmmmmmmmmm
 

daviey69

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
2,238
1,225
Yaani ninavyoipenda Chadema na Ukawa kwa ujumla....wife akinibishia tu chochote kuhusu hawa amani home inatoweka ghafla!

Hadi total expendutere ya kesho yake lazima ile kwao!
 

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,938
2,000
Mbona kila ukiitishwa uchaguzi CHADEMA haipewi ridhaa ya kuongoza? Au inapendwa na watu gani?
 

bujash

JF-Expert Member
Aug 9, 2013
3,468
0
Mbona kila ukiitishwa uchaguzi CHADEMA haipewi ridhaa ya kuongoza? Au inapendwa na watu gani?

CDM haipendwi na tume hii ya mainterahamwe.Ikiundwa tume huru na misingi ya uchaguzi wa kidemokrasia ikaafuatwa CDM inashinda kabla misa ya kwanza haiijaisha. VIVA CDM tumaini jipya kwa watz
 

daviey69

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
2,238
1,225
Kwanini unaipenda?
  • Kwanza imenifanya nijue nani mkoloni mweusi.
  • Imenifanya nisiwe nyuma kwenye kujua upuuzi unaofanywa na viongozi walioko madarakani.
  • Imenifanya kujua jinsi wewe mchina-mtzii unalipwa na nani kutetea upuuzi hapa!
  • Imenifanya kutambua changes ni mimi na si CCM na magamba kama wewe!
  • imenifanya nitambue kuwa ntakapotetea upuuzi ufanywao na magamba ni sawa na mwanamke anayekaa home akisubiria mumewe amletee kula halafu mwisho wa siku analetewa kanga na kilemba ili amchague kiongozi mpuuzi amabae ataharibu nchi na kuongeza kodi na kufanya mishahara ibaki pale pale huku mfumuko wa bei unendelea kuwa juu halafu mke huyo huyo atake kula vizuri, pumba..vu sana!
  • Imenifanya kuelewa ni bora malaya anayejiuza kuliko mnafiki wa kimagamba!
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
77,271
2,000
CDM NDIYO inayotawala kwa sasa , KIJIJI NINACHOTOKA WATU WOTE NI CDM , HADI VITOTO ! Raha sana aisee !
 

kishanda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
252
195
hata wenyewe wana ccm wanalikubali hilo Chadema iko juu basi wangeweza kuondoa tamaa ya fedha chafu wanazopewa na wazee wa fitina MBOMA CHADEMA IPO JUU TU . CHAMA KINAPENDWA BWANA ILA BASI TU KIMEKUTA JAMII YA WATANZANIA HAIJAAMUKA ignorance still high especially village.
 

Goodrich

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
2,088
2,000
Mbona kila ukiitishwa uchaguzi CHADEMA haipewi ridhaa ya kuongoza? Au inapendwa na watu gani?

MSALANI. ccm haiogopi chaguzi ila inaogopa machafuko.
Maana huwa kushinda kwenu kunategemea tangazo la msimamizi ambaya ni mccm
 
Last edited by a moderator:

sir joshua

JF-Expert Member
May 21, 2013
480
225
CDM haipendwi na tume hii ya mainterahamwe.Ikiundwa tume huru na misingi ya uchaguzi wa kidemokrasia ikaafuatwa CDM inashinda kabla misa ya kwanza haiijaisha. VIVA CDM tumaini jipya kwa watz

Umemjibu vyema sana huyo shetwan,kula like mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom