Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
wana jamvi chadema ni chama ambacho kinapendwa sana na watanzania wengi kwakua kimejijenga vizuri kwa sera na kuwatetea wanyonge bungeni angalia ujue kuwa chadema inapendwa;
1; walio timuliwa chadema a.k.a wasaliti bado wanaipend chadema angalia wanatoa matamko wakijifanya wao chadema hata kama wamehamia vyama vipya lakini bado wanajinadi kama wasemaji wa chadema..wawooo! ;
2;kwenye mikutano ya hadhara ya chadema wananchi wanakwenda kwa nauli zao,kwa miguu yao,beiskali,piki piki,magari yao bila malipo kwakua chadema ni tumaini jema kwa watanzania wote;
3;magazeti na media nyingine bila kuandika chadema hupati wateja hata yale magazeti ya ccm yanalazimika kuandika propaganda dhidi ya chadema ili mradi tu wapate wateja;
4;vifaa na kombati za chadema za uzwa hazitolewi bure kama ccm lakini wananchi mpaka maskini wanajitahidi una wakuta wamenunua kwakua chama chao wakipenda ;
5; makundi yote katika jamii wanaipenda chadema ila wale mafisadi na mazuzu wachache wasio jitambua