A amidu Member Joined Mar 18, 2014 Posts 8 Reaction score 0 Mar 21, 2014 #1 Habari wakuu kwa wale waliofanya usaili wa kuandika UDOM, kama kuna yeyote anaejua kinachoendelea tujulishane.
Habari wakuu kwa wale waliofanya usaili wa kuandika UDOM, kama kuna yeyote anaejua kinachoendelea tujulishane.
S shigegele JF-Expert Member Joined Mar 13, 2014 Posts 211 Reaction score 25 Mar 22, 2014 #2 amidu said: Habar wakuu kwa wale waliofanya usaili wa kuandika udom, kama kuna yeyote anaejua kinachoendelea tujulishane Click to expand... hapo sahau mkuu,udom ndivo walivo siku zote wana watu wao
amidu said: Habar wakuu kwa wale waliofanya usaili wa kuandika udom, kama kuna yeyote anaejua kinachoendelea tujulishane Click to expand... hapo sahau mkuu,udom ndivo walivo siku zote wana watu wao
F fiter JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 1,144 Reaction score 79 Mar 22, 2014 #3 kikula,kinabo, mlacha_ CCM OYEEE
CLICKER Senior Member Joined Dec 30, 2013 Posts 146 Reaction score 18 Mar 22, 2014 #4 ila jamani mbona waliweka siku za usaili kwa baadhi ya fani but bila majina? na pia wakafunga kabisa website yao tukashindwa kutembelea? kweli hiki Chuo kina watu wake
ila jamani mbona waliweka siku za usaili kwa baadhi ya fani but bila majina? na pia wakafunga kabisa website yao tukashindwa kutembelea? kweli hiki Chuo kina watu wake
Display Name JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 423 Reaction score 451 Mar 22, 2014 #5 [h=2]"waliofanya_usaili_wa_kuandika_ udom"[/h][h=2]Ni nini hiki jamani? :help::help:[/h]
Jambo Tz JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 670 Reaction score 203 Mar 22, 2014 #6 hivi kinachoendelea nikipi wandugu tarehe walizotoa ndo hizi kwa yeyote mwenye mpya
A aloyhiza Member Joined Jul 12, 2013 Posts 48 Reaction score 15 Mar 22, 2014 #7 tusubiri tu jamani mana walisema mwisho tarehe 25