moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,085
- 2,889
umemaliza kila kitu hapo.Uo ushauri ni kwa weak minded people like you.
Nikwambie tu kwanza mwanaum unatakiwa kuwa jasiri.. hii mitindo ya kufunika kombe mwanaharam apite ndio inawapoteza.
Nikihisi tu kuwa kuna dosari kati ya watoto wangu.. DNA itahusu sana. Sina muda wa kupoteza kabisa.
Nina kifua cha kubeba majibu, nina pesa ya kufanya vipimo. Tatizo liko wapi?
Ia kwa wale wenye roho nyepesi. Fuaten ushauri wa jamaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mwandiko tu unaonekana sio jasiri kabisaUo ushauri ni kwa weak minded people like you.
Nikwambie tu kwanza mwanaum unatakiwa kuwa jasiri.. hii mitindo ya kufunika kombe mwanaharam apite ndio inawapoteza.
Nikihisi tu kuwa kuna dosari kati ya watoto wangu.. DNA itahusu sana. Sina muda wa kupoteza kabisa.
Nina kifua cha kubeba majibu, nina pesa ya kufanya vipimo. Tatizo liko wapi?
Ia kwa wale wenye roho nyepesi. Fuaten ushauri wa jamaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahusiano yamekua yanajengeka kwa kasi sana na mengine yakibomoka kwa kasi sana kiasi kwamba mambo mengi huwa yanatokea.
Mahusiano hubomoka kwa sababu tofauti tofauti ikiwepo usaliti wa Mara moja au usaliti uliokubuhu kiasi kwamba wanamahusiano hubaki njia panda.
Mahusiano yanavyoendelea wengine hufanikiwa kupata mtoto au watoto lakini ndani ya mahusiano wakawa hawaaminiani kiasi kwamba wanachukua maamuzi yakwenda kupima DNA na matokeo yake ndoa nyingi zinavunjika sasa katika watoto sita unakuta wote ni wako au wakwako wawili na inauma zaidi pale unapokuta hakuna hata mtoto mmoja ambae ni wako.
Wengi wao hupata msongo wa mawazo hupelekea kujiua,kupata stroke,kudhuru wale watoto,kumdhuru mkewe n.k
Ukiona uko kwenye mahusiano Mungu amewajaalia watoto basi usije enda kupima DNA Lea watoto wote ni wako hao ndio watakubeba wewe Siku moja usiyoijua
Shika hilo kwakunikumbuka Mimi.
Ni uendawazimu kukaa na watoto wa watu ,mm siwezi kuishi kwa mashaka kama ni kujua nijue mtoto siyo wangu alafu niishinaye lakni najua ukweli cyo wangu siyo kujipa hope kumbe nalea watoto wa watuUo ushauri ni kwa weak minded people like you.
Nikwambie tu kwanza mwanaum unatakiwa kuwa jasiri.. hii mitindo ya kufunika kombe mwanaharam apite ndio inawapoteza.
Nikihisi tu kuwa kuna dosari kati ya watoto wangu.. DNA itahusu sana. Sina muda wa kupoteza kabisa.
Nina kifua cha kubeba majibu, nina pesa ya kufanya vipimo. Tatizo liko wapi?
Ia kwa wale wenye roho nyepesi. Fuaten ushauri wa jamaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu, mi siwezi vumilia kabisa kuhusika na damu isiyo yangu ktk familia.Uo ushauri ni kwa weak minded people like you.
Nikwambie tu kwanza mwanaum unatakiwa kuwa jasiri.. hii mitindo ya kufunika kombe mwanaharam apite ndio inawapoteza.
Nikihisi tu kuwa kuna dosari kati ya watoto wangu.. DNA itahusu sana. Sina muda wa kupoteza kabisa.
Nina kifua cha kubeba majibu, nina pesa ya kufanya vipimo. Tatizo liko wapi?
Ia kwa wale wenye roho nyepesi. Fuaten ushauri wa jamaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko mkoa gani mkuu? Au nchi gani?DNA kupima ni sh ngap
What you don't know is what will get you killed.
Ujasiri upi mkuu wa kwenda au kutokwenda kupima?Ujasiri muhimu
Hakuna kinachoshindikana mkemia anahongwa vizuri tu anatoa majibu ya kweliKwanza sidhani kama kuna mtu alienda kupima DNA akaambiwa mtoto si wako hata kama DNA inaonesha hivyo.Majibu sahihi hupewa tu kama kuna amri ya kufanya hivyo vipimo kutoka kwenye mamlaka kama za kiserikali zenye kuhitaji majibu hayo.Lakini mtu binafsi kubeba mtoto hadi kwa mkemia mkuu kupima kama mtoto ni wake ,sidhani kama atapewa jibu sahihi wakikuta mtoto si wake maana madhara ya jibu hasi huenda likasababisha madhara makubwa zaidi.Mfano ni NAY WA MITEGO alipombeba mtoto mchanga hadi kwa mkemia kufanya vipimo.Jaribu kuwaza angeambiwa mtoto si wake halafu yupo kwenye himaya yake
Nikubeba ujasiri tu
Brother mbona unecatch feelings jaman....Uo ushauri ni kwa weak minded people like you.
Nikwambie tu kwanza mwanaum unatakiwa kuwa jasiri.. hii mitindo ya kufunika kombe mwanaharam apite ndio inawapoteza.
Nikihisi tu kuwa kuna dosari kati ya watoto wangu.. DNA itahusu sana. Sina muda wa kupoteza kabisa.
Nina kifua cha kubeba majibu, nina pesa ya kufanya vipimo. Tatizo liko wapi?
Ia kwa wale wenye roho nyepesi. Fuaten ushauri wa jamaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
misemo ya kitanda hakizai haramu mimi inipishilie mbali kabisa, yaani mke afukunyue na mtoto nimlelee asee hiyo kwangu hapana tokea kabisa, hizi ni zarau, Mleta maada me nakupinga hadi kesho..!!Mahusiano yamekua yanajengeka kwa kasi sana na mengine yakibomoka kwa kasi sana kiasi kwamba mambo mengi huwa yanatokea.
Mahusiano hubomoka kwa sababu tofauti tofauti ikiwepo usaliti wa Mara moja au usaliti uliokubuhu kiasi kwamba wanamahusiano hubaki njia panda.
Mahusiano yanavyoendelea wengine hufanikiwa kupata mtoto au watoto lakini ndani ya mahusiano wakawa hawaaminiani kiasi kwamba wanachukua maamuzi yakwenda kupima DNA na matokeo yake ndoa nyingi zinavunjika sasa katika watoto sita unakuta wote ni wako au wakwako wawili na inauma zaidi pale unapokuta hakuna hata mtoto mmoja ambae ni wako.
Wengi wao hupata msongo wa mawazo hupelekea kujiua,kupata stroke,kudhuru wale watoto,kumdhuru mkewe n.k
Ukiona uko kwenye mahusiano Mungu amewajaalia watoto basi usije enda kupima DNA Lea watoto wote ni wako hao ndio watakubeba wewe Siku moja usiyoijua
Shika hilo kwakunikumbuka Mimi.
Kwahiyo utafanyaje mkuu?misemo ya kitanda hakizai haramu mimi inipishilie mbali kabisa, yaani mke afukunyue na mtoto nimlelee asee hiyo kwangu hapana tokea kabisa, hizi ni zarau, Mleta maada me nakupinga hadi kesho..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuu
Ujasiri upi mkuu wa kwenda au kutokwenda kupima?