D David Member Joined Dec 11, 2006 Posts 69 Reaction score 27 Mar 1, 2013 #1 umoja wa wafanyakazi wa kampuni za ulinzi secta binafisi umepanga kufanya mgomo mkubwa kudai haki ongezeko la mishahara.
umoja wa wafanyakazi wa kampuni za ulinzi secta binafisi umepanga kufanya mgomo mkubwa kudai haki ongezeko la mishahara.
nyampanaga JF-Expert Member Joined Nov 16, 2012 Posts 1,104 Reaction score 559 Mar 1, 2013 #2 Jazia nyama hii taarifa yako...mkuu au wewe form 4, 2012 ? uko kampuni ipi ya ulinzi njoo kwangu ninalipa freshi kama vipi ni Pm
Jazia nyama hii taarifa yako...mkuu au wewe form 4, 2012 ? uko kampuni ipi ya ulinzi njoo kwangu ninalipa freshi kama vipi ni Pm
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,314 Mar 1, 2013 #3 Kwa kweli mishahara ya hawa walinzi inasikitisha sana, Ukiangalia thamani ya mali wanazolinda na adha wanazopata za kukesha usiku, kwa mishahara duni, it is so sad!
Kwa kweli mishahara ya hawa walinzi inasikitisha sana, Ukiangalia thamani ya mali wanazolinda na adha wanazopata za kukesha usiku, kwa mishahara duni, it is so sad!