zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
jana nimepita shule nyingi za dodoma nikakuta kuna mgomo wa walimu,baadhi yao wakasema walimu wasiogoma ni wasaliti,Nikawakatalia kuwa si wasaliti,mwalimu amefundisha miaka 30 nyuma,amebkiza miaka 2 astaafu leo mnamwambia agome Atagoma huyu? hapo anatetea Maslah yake kundi hili lisiguswe kbs,na hawataki kupoteza Haki zao...gafla nikatoweka na walimu wa 3 wa kiume wakitaka kuwapga walimu waliogoma kugoma ambao ni watu wazima sana,Niliwambia jambo moja tu,Anaejiona Yeye mwamba Awaguse walimu hao...Nilishajawa na U van dame na wangejuta.
Hakuna kulazimishana kugoma,mtu agome kwa kuifata akili yake ilivyo mtuma na si kwa ku lazimishwa.Si wote wadai haki kwa Mabavu ,Wengine wanalalamia Tumboni na kusubiri miujiza.

Ni kweli ni wasaliti wa wenzao! Kama chama kinachounganisha walimu kimeitisha mgomo nchi nzima kuishtua serikali hii dhalimu wewe ukipinga msimamo huo utaitwa nani? Tumia bongo kufikiri sio kukalia.jana nimepita shule nyingi za dodoma nikakuta kuna mgomo wa walimu,baadhi yao wakasema walimu wasiogoma ni wasaliti,Nikawakatalia kuwa si wasaliti,mwalimu amefundisha miaka 30 nyuma,amebkiza miaka 2 astaafu leo mnamwambia agome Atagoma huyu? hapo anatetea Maslah yake kundi hili lisiguswe kbs,na hawataki kupoteza Haki zao...gafla nikatoweka na walimu wa 3 wa kiume wakitaka kuwapga walimu waliogoma kugoma ambao ni watu wazima sana,Niliwambia jambo moja tu,Anaejiona Yeye mwamba Awaguse walimu hao...Nilishajawa na U van dame na wangejuta.
Hakuna kulazimishana kugoma,mtu agome kwa kuifata akili yake ilivyo mtuma na si kwa ku lazimishwa.Si wote wadai haki kwa Mabavu ,Wengine wanalalamia Tumboni na kusubiri miujiza.
Van dame umeleta pumba. Huna aibu?jana nimepita shule nyingi za dodoma nikakuta kuna mgomo wa walimu,baadhi yao wakasema walimu wasiogoma ni wasaliti,Nikawakatalia kuwa si wasaliti,mwalimu amefundisha miaka 30 nyuma,amebkiza miaka 2 astaafu leo mnamwambia agome Atagoma huyu? hapo anatetea Maslah yake kundi hili lisiguswe kbs,na hawataki kupoteza Haki zao...gafla nikatoweka na walimu wa 3 wa kiume wakitaka kuwapga walimu waliogoma kugoma ambao ni watu wazima sana,Niliwambia jambo moja tu,Anaejiona Yeye mwamba Awaguse walimu hao...Nilishajawa na U van dame na wangejuta. Hakuna kulazimishana kugoma,mtu agome kwa kuifata akili yake ilivyo mtuma na si kwa ku lazimishwa.Si wote wadai haki kwa Mabavu ,Wengine wanalalamia Tumboni na kusubiri miujiza.
Hivi ambao hawakumchahua Kikwete mwaka 2010 hivi sasa si rais wao?Jana Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimetangaza kuanza rasmi kwa mgomo wa walimu baada ya wengi wao kupiga kura ya kuunga mkono kufanyika kwa mgomo huo.
Nina maswali kadhaa ya kujiuliza, na sijui wengine mnalionaje hili:
Kupiga kura ya kuunga mkono au kutokuwa na mgomo ilikuwa ni haki ya kila mwalimu aliye mwanachama wa CWT. Swali langu ni je Wale walimu ambao hawakuungana na wenzao katika mgomo huo ni halali kuchapwa vipoko na wenzao wanaogoma? kama si halali , hawa waliotenda kosa la kuwachapa wenzao wanaweza kuchukuliwa hatua? Je Chama cha walimu kinatoa tamko gani kuhusu hawa wanachama wao waliowapa uhuru wa kuchagua ama kugoma au kutogoma na sasa wanadhalilishwa kwa kuchapwa viboko?
Vyombo vya habari vimeripoti kuwa katika mkoa wa Pwani na pengne na mikoa mingine , baadhi ya Shule, wanafunzi wamehamasishwa na Walimu kuandamana. Je mgomo huu ni pamoja na Wanafunzi ? au walimu pekee? na kama wanafunzi nao wanahamasishwa kuandamana je nao walipiga kura kuunga mkono mgomo kufanyika?
Mawazo yangu: Nibora Walimu wakaendelea na mgomo bila kuwahusisha wanafunzi kwani kitendo hicho hakiwatendei haki watoto wadogo hawa ambao hawaelewi hasa nini kinachoendelea kati ya Walimu wao na Serikali yao. Aidha , kwa maoni yangu, ni bora uhuru wa pande zote waliogpma na ambao hawakugoma ukaheshimiwa kwani kusingekuwa na Demokrasia hiyo basi kusingekuwa na haja ya kupiga kura ya ama kuunga au kutounga kuwepo kwa mgomo huo.
Shelisheli;Ni kweli ni wasaliti wa wenzao! Kama chama kinachounganisha walimu kimeitisha mgomo nchi nzima kuishtua serikali hii dhalimu wewe ukipinga msimamo huo utaitwa nani? Tumia bongo kufikiri sio kukalia...CHAMA KIPI UNACHOKIZUNGUMZIA NDUGU!!?? CWT ndio wakamuaji wa walimu namba moja , kwanza wanakamua sehemu ya mshahara huo mdogo wa mwalimu kila mwezi huku wakiwa tayari na vitega uchumi kadhaa bila kueleweka matumizi yake , pili,wameitisha mgomo wakati shule zinafungwa kupisha sensa, tatu, tayari kuna vuguvugu la uchaguzi mwaka huu wa CWT taifa ndio hao wanaitisha mgomo hii ni dhahiri KAMPENI zao kujirudisha tena ili kuzidi kunyonya walimu... fungukeni walimu CWT ilikua siku zote hizo ilhali taeching allowance ilifutwa miaka mingi iliyopita ndugu yangu!!??
ni kweli ni wasaliti wa wenzao! Kama chama kinachounganisha walimu kimeitisha mgomo nchi nzima kuishtua serikali hii dhalimu wewe ukipinga msimamo huo utaitwa nani? Tumia bongo kufikiri sio kukalia.
Swala la kuwalazimisha wengine wasiotaka ni kuvunja katibaJana Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimetangaza kuanza rasmi kwa mgomo wa walimu baada ya wengi wao kupiga kura ya kuunga mkono kufanyika kwa mgomo huo.