Poleni sana sasa,,sasa nyie mkikosa darasani hamji kusema hapa kama mnatega vipindi ,matokeo ya mnayoyafanya yakifanyiwa kazi ndio mnakuja hapa kutafuta matusi ya kwenda kuwatukana waaajili wenu nyie wajibikeni freshi muone kama hamtathaminiwa na kusifiwa,sasa mnataka nini sasa .nyie mnaonekana hapa tu kwenye suala la mishahara lkn kuhusu wanafunzi kufeli mbona walimu mnakula kona na huwa hamlizungumziii kabisa? acheni maneno pigeni kazi nyie .hakuna anayeweza kukuheshimu kama bila yeye huwezi kuishi ,hayo ndio maisha halisi kote duniani.be care you're self fight you're guys,the world have changed too.