Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nimemaliza chuo mwezi wa 5 naruhusiwa kutuma maombi?
Unaruhusiwa Ndugu Yangu. Karibu Sana!
Mbona salary hujaweka au kwa Kuwa ni tutor? Be hiyo ya fedha na maendeleo copies?
tujuze mkuu kama matokeo ya usaili yashatoka na watu wameshaingia mzigoni