Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,198
- 1,289
KujiajiriKwa hio deal ni lipi Sasa...
Kwahiyo kama Haina dili unataka tufanyeje sisi?Je wewe ni Mwalimu wa masomo ya Science? Umeomba ajira Mara ngapi serikalini na ukakosa, je unayo matumaini ya kupata ajira.
Binafsi nimemaliza UDSM, 2018 teaching subjects zangu ni Chemistry na Biology.
Kwenye darasa letu ameajiriwa mtu mmoja tu, kwa mwaka wetu wameajiriwa walimu wa physics na Math kidogo.
Kwa Sasa ualimu wa Biology na Chemistry, Biology na Geography, hauna dili Tena
So what??Kwahiyo kama Haina dili unataka tufanyeje sisi?
Watu tangu 2015 wako mtaani, wewe umemaliza chuo 2018 hata maziwa hayajakutoka mdomoni unaanza kubweka. Mpuuzi sana.
Na utakaa sana.
Wakiajiri wanaanza na wale waliomaliza nyuma 2015 mpaka 2016.
Watu wamehitimu Bsc Nursing, MD, EHS, Lab na wako mtaani, wewe na kiumwalimu chako cha Kenia na Biis unaona kama unastahili haki saaaana.
Naongezea,Kuna jamaa yangu kasoma sheria na kuhitimu mwaka 2010 Hadi Leo Hana ajira, yeye 2018 anaanza kubwabwaja ,bure kabisaKwahiyo kama Haina dili unataka tufanyeje sisi?
Watu tangu 2015 wako mtaani, wewe umemaliza chuo 2018 hata maziwa hayajakutoka mdomoni unaanza kubweka. Mpuuzi sana.
Na utakaa sana.
Wakiajiri wanaanza na wale waliomaliza nyuma 2015 mpaka 2016.
Watu wamehitimu Bsc Nursing, MD, EHS, Lab na wako mtaani, wewe na kiumwalimu chako cha Kenia na Biis unaona kama unastahili haki saaaana.
Mshahara wa Mwalimu siyo mdogo. Usirudie tena kusema hi KAULI.Hao walipdharauliwaga na walimu wenzao kuwa salary Yao ndogo.
Ndiye tulivyo sisi masikiniSo what??
Mbona umemjibu kinyama Sana wewe hauelewi Yuko katika wakati gani jamani.
Hata Kama una Billions of dollars sio kuwa arrogant to your fellow man to that extent.
Icho unachoringia Kuna siku hutokuwa nacho mkuu.
Pia hakuna Bachelor ya Mana zote Zina umuhimu.pia kumbuka viongozi wetu wakubwa wa nchi wengi ni walimu hao walipdharauliwaga na walimu wenzao kuwa salary Yao ndogo.
Yaani unaongea utadhani umeajiri watu like 1M, na sijui hata housemate unaye
Kwahiyo kama Haina dili unataka tufanyeje sisi?
Watu tangu 2015 wako mtaani, wewe umemaliza chuo 2018 hata maziwa hayajakutoka mdomoni unaanza kubweka. Mpuuzi sana.
Na utakaa sana.
Wakiajiri wanaanza na wale waliomaliza nyuma 2015 mpaka 2016.
Watu wamehitimu Bsc Nursing, MD, EHS, Lab na wako mtaani, wewe na kiumwalimu chako cha Kenia na Biis unaona kama unastahili haki saaaana.
Daaa hizi bangi,afu kwa tarifa yako 2015 walimu wote wa science waliajiliwa na JPMKwahiyo kama Haina dili unataka tufanyeje sisi?
Watu tangu 2015 wako mtaani, wewe umemaliza chuo 2018 hata maziwa hayajakutoka mdomoni unaanza kubweka. Mpuuzi sana.
Na utakaa sana.
Wakiajiri wanaanza na wale waliomaliza nyuma 2015 mpaka 2016.
Watu wamehitimu Bsc Nursing, MD, EHS, Lab na wako mtaani, wewe na kiumwalimu chako cha Kenia na Biis unaona kama unastahili haki saaaana.
Jamaa kapanic hatariSo what??
Mbona umemjibu kinyama Sana wewe hauelewi Yuko katika wakati gani jamani.
Hata Kama una Billions of dollars sio kuwa arrogant to your fellow man to that extent.
Icho unachoringia Kuna siku hutokuwa nacho mkuu.
Pia hakuna Bachelor ya Mana zote Zina umuhimu.pia kumbuka viongozi wetu wakubwa wa nchi wengi ni walimu hao walipdharauliwaga na walimu wenzao kuwa salary Yao ndogo.
Yaani unaongea utadhani umeajiri watu like 1M, na sijui hata housemate unaye
Sheria?? Mbona mna washwa washw a mie nazungumzia walimu wa scienceNaongezea,Kuna jamaa yangu kasoma sheria na kuhitimu mwaka 2010 Hadi Leo Hana ajira, yeye 2018 anaanza kubwabwaja ,bure kabisa
Hao watu Ni stress zinawasumbuaHii ulivhokiandika unahisi ni kizuri, mbn hivi hujanijibu mimi but angalia maneno ya kujibu
Dah!...punguza hasira bossKwahiyo kama Haina dili unataka tufanyeje sisi?
Watu tangu 2015 wako mtaani, wewe umemaliza chuo 2018 hata maziwa hayajakutoka mdomoni unaanza kubweka. Mpuuzi sana.
Na utakaa sana.
Wakiajiri wanaanza na wale waliomaliza nyuma 2015 mpaka 2016.
Watu wamehitimu Bsc Nursing, MD, EHS, Lab na wako mtaani, wewe na kiumwalimu chako cha Kenia na Biis unaona kama unastahili haki saaaana.
Kuwa na kipawa cha kuongeaKwa hio deal ni lipi Sasa...
Ndiye tulivyo sisi masikini
Kabisa mkuuHuyu atakuwa ametembelewa na vimilioni chini ya Mia afu analeta dharau ,huwezi kuta mtu aliyezaliwa katika utajiri like Nani vile ukoo wa bush ama malkia wanadharau masikini Ila Sasa ngoja uje uendeshe gari na huku ulizaliwa kwenu hazipo nakuambia utasumbua sana kwa fujo mtaani hatulali
Nani alikudanganya ya kwamba ukisoma shahada ulizozitaja hapo juu ndio unakuwa mtu bora sana na mwenye haki ya kupata ajira?Kwahiyo kama Haina dili unataka tufanyeje sisi?