Walimu tuna hali ngumu

Kwa hapo sio walimu tu wenye hali ngum Mkuu.
Heri na walimu wanatoa alama ambazo hazimgarim kitu,
Wengine hurisk maisha...
 
Chuo gani hiki kiwe na lecturers mbumbumbu namna hiyoooo
 
Ni wa hovyo kweli kabisa. unatia aibu

Jf bwana,
Natia aibu wakati hata hunijui mimi.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Jf bwana,
Natia aibu wakati hata hunijui mimi.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
sihitaji kukujua as unadhalilisha kazi yako
 
LE PROFESSORE. Dah! Hilo ni jipu.
 
You don't deserve to be an educator... Huyo unalala nae kama ganda la ndizi triiiiiiii! Na serikali hii hapa kazi uone sasa nani atakugusaa!!! Silei ujinga hata mara moja!! Elimu ya tz inakufa haki ya nani.. Huyu nae ni lecturer, na maproff wake viazi wakuu wa idara!!!!
 

Another gullible soul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…