Walimu mbona mnatudhalilisha jamani

Kwanini walimu mnatudhalilisha sana.

Kuandika barua changamoto.

Kufungua acc tu na kujaza General information changamoto.

Walimu mna nini lakini?
Mkuu we acha kiufupi self awareness ni shida sana yaani yanayoendelea huko kwenye mfumo wa PEPMIS ni balaa tupu mpaka unajiuliza watu walipataje ajira.
 
Mkuu we acha kiufupi self awareness ni shida sana yaani yanayoendelea huko kwenye mfumo wa PEPMIS ni balaa tupu mpaka unajiuliza watu walipataje ajira.
Hy Pepsi watu wanavolalamika hua Nashindwa kuwaelewa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…