Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Kwa miaka mingi nchi hii walimu hasa kwenye somo la sayansi kwa Elimu ya msingi na sekondari wamekuwa wakifundisha kuwa Organ ya ulimi imegawanyika sehemu 3 za radha; yaani chungu, chachu na tamu. Funzo hili wamelitoa kwenye vitabu vya mitaala waliyoikuta na hakuna aliyewahi kuchunguza kisayansi kama jambo hili ni kweli au la.
Naomba niwatangazie wanafunzi wa ngazi zote kuwa theory hii ni uongo wa kutupwa kwa mujibu wa Experiment iliyofanyika Yale University hivi karibuni (ntaweka linki baadae), ingawa katika hali ya kawwida hata bila Brockbuster Research kufanyika, kiutu uzima chachu inaeleweka, chungu inaeleweka na tamu inaeleweka.
Baadae.
Wewe ulitaka aandike nini ili liwe la maana kwako?.Watu wengine bana wanapenda kusumbua wenzao, mimi nimefungua huu Uzi nikifikiri kuna jambo la maana
Tofauti ya wewe na mtoa mada ni nini?Wewe ulitaka aandike nini ili liwe la maana kwako?.
Tofauti ya mimi na mtoa mada kwa kigezo gani?,umri,elimu,muda wa kujiunga jamii forum,jinsia amma kuwasilisha mada jamii forum?.Tofauti ya wewe na mtoa mada ni nini?
Tatizo wewe unapenda spoon feeding, jiulize na ufikiri kwa umakini utapata jibuTofauti ya mimi na mtoa mada kwa kigezo gani?,umri,elimu,muda wa kujiunga jamii forum,jinsia amma kuwasilisha mada jamii forum?.
Pia,hujajibu swali langu.
Jioni njema.Tatizo wewe unapenda spoon feeding, jiulize na ufikiri kwa umakini utapata jibu
Asante mkuu, samahani kama majibu yangu yamekukwazaJioni njema.
NI kwel kabisa...ulimi una sehemu kuu kama nne hiv za ku taste ladha ya vitu tofauti (taste buds) ambazo ni fungiform,circumvallate,filiform which has no taste buds, na foliate papilla) kwa pamoja zote zina taste aina zote za ladha....kule primary mlikuwa mnasoma sayansi na mlipofika sekondari mkasoma biology ila mngeendelea mbele mngekutana na kitu kinaitwa anatomy & physiology.Tatizo wewe unapenda spoon feeding, jiulize na ufikiri kwa umakini utapata jibu
Kuhusu swala la ulimi kuonja ladha tatu tu si kweli ingawa mtoa mada hakukamilisha kazi yake.
Kuhusu swala la ulimi kuonja ladha tatu tu si kweli ingawa mtoa mada hakukamilisha kazi yake.
Kwa miaka mingi nchi hii walimu hasa kwenye somo la sayansi kwa Elimu ya msingi na sekondari wamekuwa wakifundisha kuwa Organ ya ulimi imegawanyika sehemu 3 za radha; yaani chungu, chachu na tamu. Funzo hili wamelitoa kwenye vitabu vya mitaala waliyoikuta na hakuna aliyewahi kuchunguza kisayansi kama jambo hili ni kweli au la.
Naomba niwatangazie wanafunzi wa ngazi zote kuwa theory hii ni uongo wa kutupwa kwa mujibu wa Experiment iliyofanyika Yale University hivi karibuni (ntaweka linki baadae), ingawa katika hali ya kawwida hata bila Brockbuster Research kufanyika, kiutu uzima chachu inaeleweka, chungu inaeleweka na tamu inaeleweka.
Baadae.
Mimi nikafikri research umeifanya mwenyewe, kumbe ya kutumia google! Shame on you!!Kwa miaka mingi nchi hii walimu hasa kwenye somo la sayansi kwa Elimu ya msingi na sekondari wamekuwa wakifundisha kuwa Organ ya ulimi imegawanyika sehemu 3 za radha; yaani chungu, chachu na tamu. Funzo hili wamelitoa kwenye vitabu vya mitaala waliyoikuta na hakuna aliyewahi kuchunguza kisayansi kama jambo hili ni kweli au la.