Kuna ticha mmoja wa English alikuwa anafundisha class viunganishi,i.e IN,UNDER,and ON.
Akawa anafundisha kwa vitendo si unajua sahivi lazima uwe na CHEATING AIDS!!![/FONT]
Akawa kapanda JUU ya meza.
TICHA: I am ON the table
CLASS: Your ON the table
Akawa kaingia chini ya uvungu wa meza
TICHA: I am UNDER the table, CLASS am UNDER WHERE???
CLASS: YOUR UNDERWEAR!!!!