Walimu fani mbalimbali za IT

Mamserenger

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
1,156
Reaction score
2,120
Walimu wenye fani mbalimbali kuweza kufundisha hata private na kusolve changamoto mbali mbali basi ni vyema kujulikana kwa uzi huu.

Hasa walimu wa:
1.Data base
2.Software engineering
3.Programming
4.Graphics design
5.Hard where.

Karibuni tujuzane na hata tushauriane maana teknology inakuwa kwa kasi sanaaa na mimi na wewe ndo watanzania na hii ndo Tanzania yetu.
 
 
135 zangu hizo jmn
 
Hapo namba 05 nimebobea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…