Prezdaa Shaco
Member
- Sep 3, 2013
- 46
- 8
Udom na UD bado hawajamaliza kutoa majina,hizo ni first batch nadhani kuna nyingine zinakuja
Naomba msaada wenu hivi tulioomba vyuo kwa kutumia NACTE majina waliochaguliwa yanawekwa kwenye website ya NACTE au yanawekwa kwenye website ya vyuo pamoja na wale Fresh. Maana kuna ndugu yangu kaomba UDSM na UDOM ila majina yametoka yeye hayumo, na kwenye profile yake hajaandikiwa chochote na kwenye website ya NACTE hawajatoa majina yoyote...!!
Hujajibu swali langu, ni website gani responsible kutoa hayo majina
Tembelea website ya vyuo ulivyochagua.
Wengi wa nacte wamechaguliwa ila kwenye profile zao hakijabadilika kitu.
Cha muhimu ukisikia chuo ulichoomba kimetoa majina fanya kuyaperuzi ...
Alichagua UDOM program mbili na UDSM program mbili
Vyote vishatoa majina yeye hayumo
huyo jamaa anaitwa nani?
Angoje watoe mengine labla..
Vip kwenye profile yake hajawekewa reset?