Ntu Mpyaaa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 986
- 1,823
Mi ni madrid na shabiki wa la liga, uhasimu wangu na barcelona upo tukikutana wenyewe,Mim Barcelona lakini nawaza Madrid wasije vamia uzi wetu kama arsenal ko nimeamua kuwawekea chimbo lao
Ni kweli hii madrid mbovu barcelona imejipata hata mechi ya ligi tunafungwa tena.Lakn msimu huu hamchez vizuri
Haina shida hata wakivamia mbona wao hawajafika hatua hii kama n rahisi?Mim ni Barcelona lakini nawaza Madrid wasije vamia uzi wetu kama arsenal ko nimeamua kuwawekea chimbo lao
Asenal hatutoki, gemu ijayo tutapitaMimi ninachotaka ni arsenal atolewe mji utulie. Hawa wengine watatu wanaobaki yoyote akibeba ndoo ni sawa tu
Ndio mpira wa miguuArsenal kaz mnayo
muda utaongea acha waje tutawatwanga sawa na waliowatuma!Tunawajua n Madrid, hicho kichaka tutakifyeka
Ni kipigo tumuda utaongea acha waje tutawatwanga sawa na waliowatuma!