Hell2Heaven
Senior Member
- Mar 3, 2021
- 173
- 465
Nipo hapa mkuu wala asiende mbaliHongera ila hakikisha unapata msimamizi makini mzuri na mwaminifu walau kwa asilimia 86
Nimeambiwa ni kati ya 74_80milionHongera mkuu kwakweli upo vizuri... vp budget makadirio mpaka inakamilka ni kiasi gani?
Mimi nimeanza leo kwa kupita kwa wauza matofali, Nimechagua tofali zangu 5000 fundi wangu akazikagua ubora nikalipia.
Tukapitia Kwa wauza Kokoto JKT nimelipia Lori 2 nyeusi...
Mhm...huo utani mzeya...labda hiyo ni boma na kupaua pekee.Nimeambiwa ni kati ya 74_80milion
Yaan niko Mwenyewe sitoki mpaka hapo nitakapo ishia mwezi mzima niko .. nikuwabana na kunao benet na Mkaguzi wangu Engineer mmbobevu , fundi akizingua na badilisha kila stage maana Muongozo upo wazi anatakiwa afuate kanuni zote na kila bada ya siku mbili Engineer anakuja ku approve go ahead.. aki kuta tatizo fundi ana ishia hapo hapo na mtoa site.Hongera ila hakikisha unapata msimamizi makini mzuri na mwaminifu walau kwa asilimia 86
vi4 ina kula sqm 170Hivyo vyumba vingapi na ni ukubwa gani?
Mkuu hii ramani nimeipenda hebu mafrekecheke niipateMimi nimeanza leo kwa kupita kwa wauza matofali, Nimechagua tofali zangu 5000 fundi wangu akazikagua ubora nikalipia.
Tukapitia Kwa wauza Kokoto JKT nimelipia Lori 2 nyeusi....
Ok...self vipo vingapivi4 ina kula sqm 170
Juu ni Master Delux Lorge Ina na Space ya seperate, chini kuna room 3 moja master mbili normal.Ok...self vipo vingapi
Haya mzeya endelea kutupa update na sie wengine tupate inspiration. Ila ukihitaji construction materials usinisahau mzeyaJuu ni Master Delux Lorge Ina na Space ya seperate, chini kuna room 3 moja master mbili normal.
Hongera sanaMimi nimeanza leo kwa kupita kwa wauza matofali, Nimechagua tofali zangu 5000 fundi wangu akazikagua ubora nikalipia.
Tukapitia Kwa wauza Kokoto JKT nimelipia Lori 2 nyeusi...
Yeah hapo utatoboaYaan niko Mwenyewe sitoki mpaka hapo nitakapo ishia mwezi mzima niko .. nikuwabana na kunao benet na Mkaguzi wangu Engineer mmbobevu , fundi akizingua na badilisha kila stage maana Muongozo upo wazi anatakiwa afuate kanuni zote na kila bada ya siku mbili Engineer anakuja ku approve go ahead.. aki kuta tatizo fundi ana ishia hapo hapo na mtoa site.
Hebu kwa 80m lete mchanganuo maana kuna mdau kaambiwakama hyo sio chini ua 200mJuu ni Master Delux Lorge Ina na Space ya seperate, chini kuna room 3 moja master mbili normal.
Kila la heri mkuu ukimaliza huo mjengo value ya hiyo property itakuwa sio chini ya milioni 300.Mimi nimeanza leo kwa kupita kwa wauza matofali, Nimechagua tofali zangu 5000 fundi wangu akazikagua ubora nikalipia.
Tukapitia Kwa wauza Kokoto JKT nimelipia Lori 2 nyeusi...