Wale mnaofahamu kinyiha msaada tafadhali

Dah... Hayo makabila sijui Kinyiha na Kinyamwanga ndio nayasikia leo nilizani labda Ni makabira ya Botswana au Malawi huko Kumbe wahapahapa...
 
basi yeye alijitambulisha kama mnyiha, but lugha ndio siifaham
Ila kiufupi mko na mada za kimapenzi na lengo na kutaka kuonana sio? Kwanin msitumie lugha inayowaunganisha ili kufupisha mada...maana awe anaongea then unakuja kutafsriwa si wengine watamuiba mkuu[emoji13] [emoji1]
 
Mkuu hicho sio kinyiha ni KIBUNGU ni kikabila fulani kidogo kinazungumzwa maeneo ya wilwya ya Songwe eneo moja linaitwa Mwambani na Mkwajuni,kabila la akina Deo Mwanambilimbi
 
1.Mi nakupenda sana au vizuri
2.wee kwa nini hivyo lakini
3.Haa!,nikikuona tuu moyo unanienda mbio
4.mimi nakupenda
5.ndugu hivyo ndo nakwmbia
6.hahaha! Nini?
7.Unafikiri ndugu hali sio nzuri.....nahisi baada ya kupagawa sana na kukupenda
8.Hahahaha! nini?
9.akosa hamu nikikuona,nikubalie tu ndugu
10.Nikubalie wee mtoto wa kwenu
11.Lini twende mahali au sehemu nikwambie kitu
12.niambie mtoto wa kwetu
13.wewe sasa ndo uniambie
14.hivi unajua kuwa nakupenda sana
15.naelewa vizuri
16.Nasema hivi....
17.siku twende sehemu au mahari nikakwambie kitu
18.Mungu akipenda twende Sinza
19.nambie wa kwetu
20.sina la kukwambia
21.mi nipo hadi jioni
22. Karibu tupo!

MKUU MI NIMEKAA NAO SANA HUKO MZEE WANGU ALIKUWA ANAFANYA KAZI HUKO MPAKA AMESTAAFU YUKO HUKO SO NAKIJUA NA NAWAJUA VIZURI WATU WA KABILA HILO.karibuu!
 
Ila kiufupi mko na mada za kimapenzi na lengo na kutaka kuonana sio? Kwanin msitumie lugha inayowaunganisha ili kufupisha mada...maana awe anaongea then unakuja kutafsriwa si wengine watamuiba mkuu[emoji13] [emoji1]
Ni mpenzi wangu...ila kuna mtu wa kijijini kwao wameanza kuwasiliana ghafla,walikutania facebook na inaonekana jamaa anamnyemelea bibie sema wanaongea kikwao. Sasa nipo kwenye uchunguzi wa kimya kimya kabla sijam comfront bibie ila nakwama hapo wanapotumia lugha nisiyoielewa muda mwengine.
 
 
Hahah asante mkuu, naomba ni pm namba yako ili kusudi niweze kupata msaada kirahisi.
Huyo mpenzi wangu...ila kuna mtu wa kijijini kwao wameanza kuwasiliana ghafla,walikutania facebook na inaonekana jamaa anamnyemelea bibie sema wanaongea kikwao. Sasa nipo kwenye uchunguzi wa kimya kimya kabla sijam comfront bibie ila nakwama hapo wanapotumia lugha nisiyoielewa muda mwengine.
 
poa mkuu ila usifanye hujuma mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…