Andika kwa kutulia mkuu usiwe na haraka na hivyo vifupisho . Mwaka jana niliomba kimoja tu na nikapata nafasi kuna walioomba mpaka saba ila iliwabidi wa confirm tena chuo wanachotaka baada ya kupata vyuo zaidi ya kimoja. Pia kama utapata nafasi katika chuo zaidi ya kimoja kua makini katika ku confirm chuo kimoja tuuuuu mana ukiconfirm zaidi ya chuo kimoja mkuu utapata tabu mkuu