F feedh Member Joined Sep 15, 2021 Posts 16 Reaction score 134 Sep 23, 2023 #1 Habari wakuu Naomba msaada wa kufahamu wakuu wa taasisi za serikali hasa mashirika ya umma ambao wamedumu kwenye nafasi zao katika taasisi hizo hizo kwa muda mrefu walau miaka mitano bila kubadilishwa au kutenguliwa kuanzia 2016. Asante
Habari wakuu Naomba msaada wa kufahamu wakuu wa taasisi za serikali hasa mashirika ya umma ambao wamedumu kwenye nafasi zao katika taasisi hizo hizo kwa muda mrefu walau miaka mitano bila kubadilishwa au kutenguliwa kuanzia 2016. Asante