Hivi kwa nini hii fani yetu ya ICT haina umoja wala Bodi za Kuregulate kwa hapa Bongo ?
Nchi nyingi za Ulaya zina umoja na jinsi ya Kuregulate na hii inasaidia sana kulinda fani na kuhakikisha sio hata Vishoka na wenyewe wanajifanya wamo.
Pia kwanini kama Tz tusiwe na Kitu kama CPA au NBAA au ile ya Madaktari, itakayo weza kusajili na kutoa licence kwa watu na uwezo kwenye fani hii ya ICT ?