Nimekuja mbele zenu kuomba msaada wa ajira. Mimi ni kijana wa miaka 23, nina astashaada ya ICT lakini natafuta kazi yoyote ya kwenda na kurudi ( kasoro kazi ya kuuza bar tu ),
Pia nina ujuzi wa
Kutoa password za simu za button
Kutoa frp lock kwa android phones
Kutafasiri movies
Ku maintain website
Kubadilisha file ( android )
Computer software and hardware maintenance zote nafanya.
Bruh jamaa yangu amewai nusurika kwenda jela kwa ku flash simu kwa sh 15000/= .. akalipia laki na nusu kama faini.. inshort bila uthibitisho hamna kazi hapo ndugu.
Nipo confident na mark up languages tu html na css lakini js naweza kidogo sana. Lakin Kwa technology ilivyokua kwa sasa naweza build a website nikipewa muda wa kutosha.