ngoja nikutoe hofu, hapo chuo umepata tena kiulaini ishu labda utuambie tukupe maujanja ya kuweza kumaliza manake kuna sup huko na disco.(utani)
mwanafnzi wangu mwaka huu science mmefeli sana wengi mmetoka na ii au iii na hapo ni baada ta standardization, cutoff points ya chuo kwa scence this year ni 5 kwa wahandisi na kwa wa ualim ni 4.5 wewe nikikokotoa unayo 6.5 hivyo anza kutafuta joining instruction ya udsm