ahsante mkuu kwa jitihada zako ila nilisha fanikiwa tayari nili ipachika hard disk kwenye pc nyengine na nikaiformat kwa kutumia windwos xp ahsante kwa jitihada zakowasha pc, wakati inawaka bonyeza F2 mara nyingi, mpaka uingie kwenye BIOS menu, na hapo tafuta sehemu pa IDE au ACI, kama ipo IDE weka ACI na kama ipo ACI weka IDE halafu bonyeza F10 kisha enter, na ujaribu kuiwasha tena, hiyo ni Blue Screen Of Death BSoD na huzipata sana pc za Acer kama hukuweka hizo setting mwanzoni, chebi