Naam na muhimu uwe ushajifunza na kuona kwa vitendo how possible you can run thisKama hela ipo, wekeza kwenye kilimo; kinachopandisha bei, walaji ni wengi kuliko wazalishaji.
Kopa, milioni 20, wekeza kwenye kilimo; rudisha deni, kula faida
Kilimo kinalipa sana; tunakoelekea mkulima mfanyabiashara atakuwa na maisha mazuri kuliko muajiriwaNaam na muhimu uwe ushajifunza na kuona kwa vitendo how possible you can run this
Wanaosema kilimo hakina pesa ni hawahawa wanawalaumu wakulima kupandisha bei ya mazao.
1 acre ya mahindi inaweza kukupatia 1-4 milions per year kutegemea na bei , kama umelima kwa standard inayotakiwa.
Mtu atakucheka ohh one milion per year ndo ukae unaisubiri tu !? Wanasahau maisha ni hatua kama leo nimepata 3mil per year means nikipambana naweza kupata 6m next year maana nitaongeza shamba , after 5 years watu wanaambiwa unaingiza
Hakika serikali wamefanya vizuri sana kuamua kujitenga na ishu ya kumpangia bei mkulima na wakiendelea hivi mkulima atampita mfanyakazi kitambo sanaKilimo kinalipa sana; tunakoelekea mkulima mfanyabiashara atakuwa na maisha mazuri kuliko muajiriwa
Mkulima hawezi kumpita mfanyakazi acha kuwazugaHakika serikali wamefanya vizuri sana kuamua kujitenga na ishu ya kumpangia bei mkulima na wakiendelea hivi mkulima atampita mfanyakazi kitambo sana
Kilimo hakina dhamana chonde chonde mtu usikope ukalime vinginevyo uwe na kilimo cha uhakika kama kilimo cha miwa kule turianiKama hela ipo, wekeza kwenye kilimo; kinachopandisha bei, walaji ni wengi kuliko wazalishaji.
Kopa, milioni 20, wekeza kwenye kilimo; rudisha deni, kula faida
Sumri alienda kwenye kilimo huku akiwa ni tajiriWakulima wengi tu watatajirika msimu huu ila wawe wale waliolima mashamba makubwa na walitunza nafaka hizo hadi sasa
Kwa wale wanaosema mtu hawezi kutajirika kupitia kilimo nampa pole maana wakulima wengi tu ni matajiri eg.RUTO na the late SUMMRY , Kuaminishana kwamba kilimo hakiwezi kumtoa mtu kwenye umasikini ni ujinga kama ujinga mwingine tu
Ni kweli, kutegemea mvua ni tatizo pia, hali ikiwa nzuri, utavuna; ila ikiwa mbaya ni hasaraKilimo hakina dhamana chonde chonde mtu usikope ukalime vinginevyo uwe na kilimo cha uhakika kama kilimo cha miwa kule turiani
Hii kitaalamu inaitwa THE COMPOUND EFFECT [emoji123]Naam na muhimu uwe ushajifunza na kuona kwa vitendo how possible you can run this
Wanaosema kilimo hakina pesa ni hawahawa wanawalaumu wakulima kupandisha bei ya mazao.
1 acre ya mahindi inaweza kukupatia 1-4 milions per year kutegemea na bei , kama umelima kwa standard inayotakiwa.
Mtu atakucheka ohh one milion per year ndo ukae unaisubiri tu !? Wanasahau maisha ni hatua kama leo nimepata 3mil per year means nikipambana naweza kupata 6m next year maana nitaongeza shamba , after 5 years watu wanaambiwa unaingiza milion 25-30 per year kwenye kilimo hichohicho utasikia wanasema wewe ni freemason