"Wala msiite mtu yeyote hapa duniani ‘baba,’ kwa maana mmoja tu ndiye Baba yenu — yeye aliye mbinguni."
Vp kuhusu baba yako mzazi, nae asiitwe BABA au?Matayo 23:9 katika Biblia (New International Version - NIV) unasema:
Kwa Kiswahili cha kawaida:
Yesu anawaambia wanafunzi wake wasimwite mtu duniani "baba" kwa heshima ya kiroho, kwa sababu Mungu pekee ndiye Baba wa kweli wa kiroho aliye mbinguni.
KUMUITA PAPA KUWA BABA YAO KTK DUNIA
Kwa heshima ya kiroho?Vp kuhusu baba yako mzazi, nae asiitwe BABA au?
Soma bibliaKwani kuna MTU amekulazimisha wewe kumuita papa??
Yaan unataka utupangie namna ya kumuita Kiongozi WA kanisa.
Hapa usharikani tuu tunamwita Baba mchungaji....
SitakiSoma biblia
Basi kimyaSitaki
Yani tusimwite mtu yeyote Mungu. Kwakuwa Mungu nimmoja . Nitafsiri tu hapo imekuchanganya. Kumbuka biblia imetafsiriwa kutoka Kiebrania,Matayo 23:9 katika Biblia (New International Version - NIV) unasema:
Kwa Kiswahili cha kawaida:
Yesu anawaambia wanafunzi wake wasimwite mtu duniani "baba" kwa heshima ya kiroho, kwa sababu Mungu pekee ndiye Baba wa kweli wa kiroho aliye mbinguni.
KUMUITA PAPA KUWA BABA YAO KTK DUNIA
Mungu ana majina yake mkuu, wapo wanaomuita Yaweh, Jah, jehova , hayo ndio majina ya Mungu.Ni kukufuru kumuita mtu Baba Mtakatifu.
Baba mtakatifu ni Mungu (Mathayo 17:11)
Mathayo 17:11Ni kukufuru kumuita mtu Baba Mtakatifu.
Baba mtakatifu ni Mungu (Mathayo 17:1
HaMungu ana majina yake mkuu, wapo wanaomuita Yaweh, Jah, jehova , hayo ndio majina ya Mungu.
Yohana 17:11Mathayo 17:11
Naye akajibu, akawaambia, Kweli Eliya yuaja kwanza, naye atatengeneza yote,
Mkuu ulimaanisha nini mbona ni vitu viwili tofauti?
Yohana 17:11Ha
Yohana 17:11
Baba mtakatifu,Yohana 17:11
Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
hii tofauti kwenye "oral" unaionaje --- mfano vijijini hukoPapa ni baba siyo Baba
Sidhani kwa elimu yako ya madrasa kama utaelewa 😁🇹🇿