Siku za ajabu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 1,369
- 987
siku za ajabu kweli hizi ni siku za ajabu!!!Kuna kampuni moja ipo hapa Dar cjui kama mikoani ipo,wana mbinu chafu .......
......huo mkopo marejesho yake hawasemi vizuri lakini wanakata zaidi ya 300%.
Mi cjui jina la kampuni hi ningewaambia ila ofisi zake ziko maeneo ya posta.
Kuna kampuni moja ipo hapa Dar cjui kama mikoani ipo,wana mbinu chafu wanajifanya wanakujengea nyunba kwa mkopo kama una kiwanja.
Ukikubali wanakwambia kwanza tujenge mahusiano ya mkopo kwa kuchukua mkopo mdogo tu kama laki5,
Ndugu ukikubali huo mkopo marejesho yake hawasemi vizuri lakini wanakata zaidi ya 300%.
Kuna ndugu katapeliwa kwa miezi 3 marejesho ni milioni 1.5 mkopo laki5 na anarejesha mwaka mzima.
Patapicha!
Mi cjui jina la kampuni hi ningewaambia ila ofisi zake ziko maeneo ya posta.
Ni mtu kanambia kwa kuwa alikuwa anafuatilia pesazake akagoma kunipa jina ila ofisi ndo kasema,na mimi nafanya uchunguzi kuijua.
siku za ajabu wewe ni mtu wa ajabu unatuleta habari nusunusu kiajabuajabu kwa maajabu hivi! Ama kweli siku za mwisho zitakuwa na majabu na watu wa ajabukuna kampuni moja ipo hapa dar cjui kama mikoani ipo,wana mbinu chafu wanajifanya wanakujengea nyunba kwa mkopo kama una kiwanja.
Ukikubali wanakwambia kwanza tujenge mahusiano ya mkopo kwa kuchukua mkopo mdogo tu kama laki5,
ndugu ukikubali huo mkopo marejesho yake hawasemi vizuri lakini wanakata zaidi ya 300%.
Kuna ndugu katapeliwa kwa miezi 3 marejesho ni milioni 1.5 mkopo laki5 na anarejesha mwaka mzima.
Patapicha!
Mi cjui jina la kampuni hi ningewaambia ila ofisi zake ziko maeneo ya posta.