Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,576
- 3,064
Umeona.Acha tuu Mkuu. Kweli maisha ni mwalimu mzuri kuliko walimu wote duniani.
Mkuu maisha yaache tuNiko hapa mkuu. Nilisema chini ya Milion 3 sifanyi kazi., nakumbuka tulikuwa kama 8 hivi tunadiscuss. Ila sasa baada ya kumaliza... Ngoja niishie hapa.
Ukishamaliza unaachwa utajijua.Watu hawandaaliwi how to fight with street,real life etc
Ukiwa chuo waona kila kitu ni possible mnajazana ujinga mwingi.Mshahara wa DED kabisa ambaye faili lake lipo Ikulu.
Hamkuwa serious kabisa
Ukute mmekua madalali viwanja goba na kigamboni🤣🤣Niko hapa mkuu. Nilisema chini ya Milion 3 sifanyi kazi., nakumbuka tulikuwa kama 8 hivi tunadiscuss. Ila sasa baada ya kumaliza... Ngoja niishie hapa.
Baada ya kumaliza mmoja akawa anatembeza mashuka na vipodozi vya oriflame, ila Mungu alimkumbuka yuko NSSF, mwingine akawa sales wa kampuni ya sigara ila maisha yakawa sio akaacha now ni dalali, mwingine akawa bank teller, mshahara haukuwa unafika hata milioni, wengine hata sijui walipo. Mimi sasa ... hebu nisimalizie kusema.Ukute mmekua madalali viwanja goba na kigamboni🤣🤣
Baada ya kumaliza mmoja akawa anatembeza mashuka na vipodozi vya oriflame, ila Mungu alimkumbuka yuko NSSF, mwingine akawa sales wa kampuni ya sigara ila maisha yakawa sio akaacha now ni dalali, mwingine akawa bank teller, mshahara haukuwa unafika hata milioni, wengine hata sijui walipo. Mimi sasa ... hebu nisimalizie kusema.
Kazi inaendelea... Sema mimi nilipomaliza ndani ya muda mfupi niliyapatia kinoma nikawa naona ndoto zinatimia ila easy come easy goYote maisha mkuu kazi ziendelee 😁