Mkuu hata Mimi hili swala linanisumbua sana kichwani mwangu,maana nashangaa miaka hii hakuna tena zile ladha tulizokuwa tunazipata kutoka kwa St Gaucho,Denilson Mzee wa kukusanya Kijiji,Redondo,Zizzou,Nedved,Ronaldo wa Ukweli nk. Itabidi wapenda Soka wa Dunia nzima tufunge na kusali angalau atokee tena Mtakatifu au Nabii mwingine kama St. Gaucho aje aokoe hiki kizazi cha Soka la sasa.