Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,870
Nimecheka sana wiki ilopita,unarudiwa mchezo wa mwaka 1999 bi nyakomba amecharuka hajapewa taarifa ya kaka yake kupata eksident ilhali kakaake mwingine ambaye ni mzee jongo anafahamu!!Aisee kitambo sana .
Hahaahaaa machafukoo!zama zimebadirika bwana machafuko
Mzee Jongo(Ibrahim Raha)alishafariki kitambo.Niseme wazi mimi ni mpenzi wa kusikiliza TBC taifa radio,hasa vipindi vyao vya Pwagu na pwaguzi(kinarushwa kila siku ya j3 hadi ijumaa saa 11:45 jioni) na kile cha TUNZA IKUTUNZE(Kinarushwa kila jpili saa 3:30 usiku)sisikilizi zaidi ya hivyo vipindi.Ni michezo ya radio ya kuigiza.Kwenye mchezo wa pwagu na pwaguzi japo wanaongelea mipango yao ambayo mwishowe inabuma ila nafahamu mzee Pwagu ameshakufa sifahamu kuhusu mzee pwaguzi!kwenye igizo la Tunza ikutunze,yupo mtu anaitwa mzee Jongo.kipara,bi nyakomba nk.Swali langu ni je,hawa malegend wa michezo ya kuigiza(nyakomba,jongo,kipara nk) wako hai?na kama ndiyo wana mishe gani kwa muda huu?naweza pata kazi zao mahala?
Na Mzee Kipara nae alishafariki, nadhani hawakupishana sana na Mar. Kanumba!Mzee Jongo(Ibrahim Raha)alishafariki kitambo.
Hawa wazee ni wa zamani sana,kama wapo hai baadhi itakuwa ni wachache. Wapo niliowafahamu personally ambao pamoja na uigizaji walikuwa ni waajiriwa wa serikalini(si wote). Hapa nazungumzia miaka ya nineteen eighties huko,you can imagine kuna baadhi enzi hizo walikuwa wazee(Mzee Jongo,Mzee Hamis Tajiri,Mzee Saidi Panda just to mention few). Records za maigizo yao naamini ukienda TBC utazipata kirahisi.Niseme wazi mimi ni mpenzi wa kusikiliza TBC taifa radio,hasa vipindi vyao vya Pwagu na pwaguzi(kinarushwa kila siku ya j3 hadi ijumaa saa 11:45 jioni) na kile cha TUNZA IKUTUNZE(Kinarushwa kila jpili saa 3:30 usiku)sisikilizi zaidi ya hivyo vipindi.Ni michezo ya radio ya kuigiza.Kwenye mchezo wa pwagu na pwaguzi japo wanaongelea mipango yao ambayo mwishowe inabuma ila nafahamu mzee Pwagu ameshakufa sifahamu kuhusu mzee pwaguzi!kwenye igizo la Tunza ikutunze,yupo mtu anaitwa mzee Jongo.kipara,bi nyakomba nk.Swali langu ni je,hawa malegend wa michezo ya kuigiza(nyakomba,jongo,kipara nk) wako hai?na kama ndiyo wana mishe gani kwa muda huu?naweza pata kazi zao mahala?
Kweli kabisa mkuu kwa mfano igizo la pwagu na pwaguzi linalorudiwa sasa lilirushwa mwaka 1979!nitajitahidi nitembelee tbc leoleo maana tuliozaliwa 80's nahisi tulikosa mengi.Hawa wazee ni wa zamani sana,kama wapo hai baadhi itakuwa ni wachache. Wapo niliowafahamu personally ambao pamoja na uigizaji walikuwa ni waajiriwa wa serikalini(si wote). Hapa nazungumzia miaka ya nineteen eighties huko,you can imagine kuna baadhi enzi hizo walikuwa wazee(Mzee Jongo,Mzee Hamis Tajiri,Mzee Saidi Panda just to mention few). Records za maigizo yao naamini ukienda TBC utazipata kirahisi.
Daah apumzike kwa amani.Mzee Jongo(Ibrahim Raha)alishafariki kitambo.
Aisee mbona watu muhimu wanaondoka tunaachiwa majini?Na Mzee Kipara nae alishafariki, nadhani hawakupishana sana na Mar. Kanumba!
Mzee alipata kuigiza kama Mitemba alimuibia mama mwenyenyumba kodi ya mwezi baada ya kumlipaNa Mzee Kipara nae alishafariki, nadhani hawakupishana sana na Mar. Kanumba!
Mbombo nangafu.Mzee alipata aiigiza kama Mitemba alimudu is mama mwenyenyumba kodi ya mwezi baada ya kumlipa
Yaani katupeleka analog.Nimecheka sana wiki ilopita,unarudiwa mchezo wa mwaka 1999 bi nyakomba amecharuka hajapewa taarifa ya kaka yake kupata eksident ilhali kakaake mwingine ambaye ni mzee jongo anafahamu!!
Hahahahah mzee Kipara bhana!Mzee alipata kuigiza kama Mitemba alimuibia mama mwenyenyumba kodi ya mwezi baada ya kumlipa