Wakisemacho Kusini ni sawa?

Tatizo sio gesi ni mikataba yako MIBOVU...
Sijui anajisikiaje anapoona wananchi wameamka?
 
nahisi anajisikia kujificha chini ya ardhi, Gesi haitoki ng'ooooooo, wao mabomu chichi nkuki.
 
nahisi anajisikia kujificha chini ya ardhi, Gesi haitoki ng'ooooooo, wao mabomu chichi nkuki.

Kinjeketile - boom boom - MAJI - boom boom - MAJI - pia wasichahau karne kajaa baadae Kaburu aliwafulia kofyia wana kusini pamoja na nyeso sake sa kivita. viva watani setu wa kusini - abbaaaaa!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…