jaman mwanajamii mwenzenu nimekuja mwanza lakini sijampata wakunikaribisha nakuomba we dada nikaribishe nipate wakunihifadhi mji huu wawa2 jaman mwana jamii mwenzenu baridi

Ndio ulilofatia huko Mwanza au kuna shughuli maalum ulokwendea? kama kuna kazi maalum ulokwendea basi fany akazi urudi nyumbani mwanamme husufiwa utulivu na heshma ya nafsi yake sio uzinzi....
jaman mwanajamii mwenzenu nimekuja mwanza lakini sijampata wakunikaribisha nakuomba we dada nikaribishe nipate wakunihifadhi mji huu wawa2 jaman mwana jamii mwenzenu baridi
Vila sio bei mbaya sana!lakini kama una hela ingia hapo Gold crest hotel!Makoroboi ni hadhi ya chini sana bora Deluxe!Karibu mwanza!Kama utakaa muda mrefu basi fika chuoni SAUT au CBE utapata couple za kudumu na zenye matumizi ya juu!