Wakenya wako kibiashara zaidi

Biashara matangazo, Kenya ni nchi ndogo lakini kiuchumi wametuacha mbali sana. Wakipata nafasi wanaitumia vizuri.
 
Hivi kwani barack Obama alizaliwa Kenya?Mi nilikuwa sijui.
 
Biashara matangazo, Kenya ni nchi ndogo lakini kiuchumi wametuacha mbali sana. Wakipata nafasi wanaitumia vizuri.
Sasa hapa ndo nafasi gani wametumia?Manaake huu uongo mwingine ni aibu tupu,kila mtu anajua Barack Obama alezaliwa Honolulu,Hawaii.
Wakenya bwana wanapania sana mpaka wanachemsha,ndo maana wanasema mlima kilimanjaro upo kwao.
 
hawa jamaa bhana! urongo eti ndio wanaita 'aggressiveness'..lol
 
tatizo tume kaa kima jungu zaidi na kuwa ona wakenya wapo kibiashara zaidi kwa nini uwasemee wa kenya acha kujishushaa alaaaa
 
tatizo tume kaa kima jungu zaidi na kuwa ona wakenya wapo kibiashara zaidi kwa nini uwasemee wa kenya acha kujishushaa alaaaa
obama hajazaliwa kenya ila baba yake ni mkenya hivyo wanatumia tu hiyo slogan kuvuta utalii.
 
Hiyo ni nzuri kwani wanasema wewe ukisema cha nini wenzio wanasema watakipata lini,
Wakenya wanajua kuwa wenzetu wazungu ni watu wa maendeleo na matumizi,kwa upande wa maendeleo hatuna tunachowashida kiteknologia, na vile vile hawa watu wanapenda kujua na kuangalia kweli yaliyoko katika historia ni ya kweli.
Sasa kwa hawa jaluo na luya wanatumia nafasi hiyo ya kutokujua kwetu kujinufaisha na rasilimali zetu,
siyo Mlima Kilimanjaro tu,angalia hata matangazo ya mbuga ,wanatangaza kuwa Migratory Wildebeest wanapatikana kwao wakati hao wanyama huwa wanapatikana kule K kwa musimu wa kiangazi kutafuta maji, sisi tunarara tu,
 
kwwani mlima kilimanjaro upo kenya lakini si unasikia wakenya wanasema upo kenya chezea wakenya wewe.

Hawa jamaa wanaangalia wapi sisi tumekuwa dhaifu, wakishaona wanaitumia vizuri hiyo nafasi. Walipoona wameshutukiwa kuhusu mlima Kilimanjaro sasa wanasema ukitaka kuuona vizuri njoo Kenya, na kweli ukiwa upande wa Kenya unauona vizuri ila kuupanda lazima uingie TZ.
 
wenzetu wapo kibiashara sisi tupo kimajungu na fitina
 
Sasa hapa ndo nafasi gani wametumia?Manaake huu uongo mwingine ni aibu tupu,kila mtu anajua Barack Obama alezaliwa Honolulu,Hawaii.
Wakenya bwana wanapania sana mpaka wanachemsha,ndo maana wanasema mlima kilimanjaro upo kwao.

Ndiyo maana mleta uzi kasema wako kibiashara, kwasababu matangazo mengi ya biashara huwa hayasemi ukweli ila huwa yanaangalia namana ya kumvuta mteja.
 
guys that photo isn't from Kenya. it's just been put up online by those who claim Obama was born here.Photoshop.
 
ukabila unawatafunasana na ndo unawagawa gawa vipande vipande
 

Don't be conclusive, unasupport this Kenyan rubbish propaganda ati ukiwa in the Kenyan side ndio unauona mlima vizuri!! Hehe says who? Under what grounds, have u been to all viewing sites in the Tanzanian sides au basi tu coz they said bac yo copyin it too!? Acha uvivu wa kufikiri bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…