Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,829
No stone will remain unturned under Magufuli, huku kukitokea tatizo linakabiliwa kwa nguvu zote linamalizwa, inabaki historia ya vitabuni tu, albino killings and Kibiti killings, vilitingisha lakini vimekuwa historia, hivi ninyi xtrajudicial killings, insecurity watu kutekwa na kuuliwa hovyo, rushwa na ukabila vimewashinda kabisa hata kuvipunguza kidogo?, hopeless country hiyo.Kumbe Hapa Kazi Tu ilikuwa ni Opareshen kamata ngombe wakila nyasi? Kweli nyie ni mabongolala kama ingekuwa ni wala albino mnawakamata kwa mtindo huu tungewatambua sana.
Ile Uhuru tano tena ni kwa ajili ya kuua mifugo ya wakenya kwenye ardhi ya Kenya, kwa kutumia askari wa kenya wanaolipwa mshahara kutokana na kodi ya wakenya, huku wakitumia siraha zilizonunuliwa kwa kodi ya wakenya. Yote hiyo ni kulinda ardhi ya bepari mzungu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe Hapa Kazi Tu ilikuwa ni Opareshen kamata ngombe wakila nyasi? Kweli nyie ni mabongolala kama ingekuwa ni wala albino mnawakamata kwa mtindo huu tungewatambua sana.
Tulishawastukia wanaogopa hawajui kitakachofata.Ngombe wa Rwanda na Uganda?
Hilo ni changa la macho, tena mchana kweupe
Wanataka kujustfy tukio la Kenya
Magufuli aliwaambia mchana kweupe kwamba ataendelea kukamata mifugo yote ya Kenya, kama mnaweza jaribuni kukama mifugo ya Tanzania iliyopo Kenya muone litakalowakuta, zaidi ya CS Amina kulalamika na kukimbilia huruma ya ujirani mwema, ninini zaidi machoweza kuifanya Tanzania?, Kenya imefilisika ikiwa na mzigo wa madeni usiolipikaTulishawastukia wanaogopa hawajui kitakachofata.
Aisee hongereni kwa kuzidi kulamba dume! Meanwhile hapo darisalama mzee wa vyeti anazidi kupata maziwa[emoji3] [emoji191] [emoji125]
[/IMG]View attachment 630684
Acha siasa kwenye mambo ya kisheriaNyie furahieni tu, hamjui ubaya wake, saa hizi mnachukulia kila kitu kisiasa na kimipasho, sawa haina shida.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ametangaza kupiga mnada ng'ombe zaidi ya 10,000 wa nchi za Uganda na Rwanda waliokamatwa katika operesheni inayoendelea nchini.
Mpina alitangaza hayo leo Jumatatu bungeni mjini Dodoma wakati akichangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa 2018/2019.
Waziri huyo ambaye alikuwa akijibu hoja zilizoibuliwa na baadhi ya wabunge amesema ng'ombe hao watapigwa mnada wakati wowote kama ilivyofanya kwa ng'ombe 1,325 wa Kenya.
Amesema uhusiano wa Tanzania nchi nyingine washirika wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ni mzuri na akisisitiza hakuna ushirikano wa kihalifu.
Mpina amesema walioingiza ng'ombe hao ni wahalifu na wamevunja sheria za nchi na kutahadharisha wafugaji wa nchi jirani kufuata sheria wanapotaka kuingiza mifugo nchini.
My take :
Sasa wale Wakenya wanaohisi Tanzania bado ni shamba la Bibi, walete mifugo yao Tz. Hii serikali ya awamu hii haijaribiwi.
Siku njema Ma Nyangau !