FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,066
- 40,725
Umeshalishwa sumu mliyolishwa kipindi cha kumng'oa Gaddafi na Saddam, sooo saad.
Ila mkuu US inavyoelekea hataweza kuivamia Venezuela !!Umeshalishwa sumu mliyolishwa kipindi cha kumng'oa Gaddafi na Saddam, sooo saad.
Weka akiba ya maneno mkuuIla mkuu US inavyoelekea hataweza kuivamia Venezuela !!
Venezuela IPO vizuri kuliko nchi zote ambazo marekani amewahi kuvamia watu wana S-300 zilizopo Active 24-7 tegemea Vita ambayo hatujawahi kuiona kama wakijaribu kuivamia!
Ila kwa mtazamo wangu hawata jaribu milele na kuotesha waasi pale ni ngum Sana Sana maana jeshi lipo na serekali 100%!
Russia nao apo wana patizama zaidi ya Syria!!
Tukumbushane mkuu!Weka akiba ya maneno mkuu
Serikali ya Venezuela imekanusha. ..... lakini ukweli ni kwamba Hizbullah na Warusi wapo pale muda mrefu tena in thousands, currently with plain cloth kabla ya haya makelele. .. balaa Lao linafahamika , na Hizbullah ni wapiganaji wenye nguvu na ari M.East kwa sasa , na uwezo wao umepimwa kwenye vita halisi.... Syria, Israel ,irak , Yemen kwa sasaPia nimeona Syria Iran plus Hezbollah wameingia kwenye huo mtanange
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Pathetic fool. Maduro kawwatafuta maadui wa ndani yeye mwenyewe kwa kuminya demokrasia sasa mnamsaidia kulialia.Umeshalishwa sumu mliyolishwa kipindi cha kumng'oa Gaddafi na Saddam, sooo saad.
Kumbuka hapo kuna oil ya kutosha so usa anaweza kuwakusanya NATO wakaamua liwalo na liweSerikali ya Venezuela imekanusha. ..... lakini ukweli ni kwamba Hizbullah na Warusi wapo pale muda mrefu tena in thousands, currently with plain cloth kabla ya haya makelele. .. balaa Lao linafahamika , na Hizbullah ni wapiganaji wenye nguvu na ari M.East kwa sasa , na uwezo wao umepimwa kwenye vita halisi.... Syria, Israel ,irak , Yemen kwa sasa
CIA wanajua kinachoendelea pale. hawawezi kuishauri vibaya serikali yao ,
,
USA hawawezi kufanya lolote pale
Hizi kelele za kwenye media ni za kawaida . ..... mtaniambia mwakani muda km huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo yanachekesha sana!!Pia nimeona Syria Iran plus Hezbollah wameingia kwenye huo mtanange
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Venezuela itavamiwa na marekani kwa kushirikiana na nchi jirani za Venezuela na Maduro ataondolewa .Pathetic fool. Maduro kawwatafuta maadui wa ndani yeye mwenyewe kwa kuminya demokrasia sasa mnamsaidia kulialia.
He got the point though