Wakati US anachinja waislam Iraq na Libya tulichekelea kwamba ni magaidi walipuliwe tu, sasa zamu yetu Venezuela

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
35,836
40,431
Mafuta hayajawahi kuiacha nchi salama, Marekanj yuko katika kuiundia Venezuela zengwe ili aivamie kama alivyofanya Iraq kwa kumpakazia Saddam ana silaha za maangamizi, na Gadaffi walimpakazia nini sijui wakamvamia, sasa waislam wamepewa likizo, ni zamu yetu huko oil rich Venezuela
 
Umeshalishwa sumu mliyolishwa kipindi cha kumng'oa Gaddafi na Saddam, sooo saad.
Ila mkuu US inavyoelekea hataweza kuivamia Venezuela !!
Venezuela IPO vizuri kuliko nchi zote ambazo marekani amewahi kuvamia watu wana S-300 zilizopo Active 24-7 tegemea Vita ambayo hatujawahi kuiona kama wakijaribu kuivamia!
Ila kwa mtazamo wangu hawata jaribu milele na kuotesha waasi pale ni ngum Sana Sana maana jeshi lipo na serekali 100%!
Russia nao apo wana patizama zaidi ya Syria!!
 
Weka akiba ya maneno mkuu
 
Pia nimeona Syria Iran plus Hezbollah wameingia kwenye huo mtanange

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Serikali ya Venezuela imekanusha. ..... lakini ukweli ni kwamba Hizbullah na Warusi wapo pale muda mrefu tena in thousands, currently with plain cloth kabla ya haya makelele. .. balaa Lao linafahamika , na Hizbullah ni wapiganaji wenye nguvu na ari M.East kwa sasa , na uwezo wao umepimwa kwenye vita halisi.... Syria, Israel ,irak , Yemen kwa sasa

CIA wanajua kinachoendelea pale. hawawezi kuishauri vibaya serikali yao ,
,
USA hawawezi kufanya lolote pale

Hizi kelele za kwenye media ni za kawaida . ..... mtaniambia mwakani muda km huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka hapo kuna oil ya kutosha so usa anaweza kuwakusanya NATO wakaamua liwalo na liwe

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Pia nimeona Syria Iran plus Hezbollah wameingia kwenye huo mtanange

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Kuna mambo yanachekesha sana!!
Hivi Hezbollah watokee middle east mpaka southern America huko Venezuela wakatafute nini??.

Hezbollah wao wanapigana kwa ajili ya vitu hivi:
. uislamu
.uhuru wa Lebanon
. Kusaidia axis of resistance.

Hezbollah has nothing to do with Venezuela
 
Pathetic fool. Maduro kawwatafuta maadui wa ndani yeye mwenyewe kwa kuminya demokrasia sasa mnamsaidia kulialia.
Venezuela itavamiwa na marekani kwa kushirikiana na nchi jirani za Venezuela na Maduro ataondolewa .
Hakuna nchi yoyote itakayo kubali kujitoa muhanga kisa Venezuela sio urusi sio china watabaki wanapiga kelele tu basi!!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom