MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,493
- 8,727
Kumekuwa na watu wanao pinga ununuzi wa ndege kwa factor nying mno na wapo pia wanao unga mkono lwa factor nyingi mno.
Wote kila mmoja ana point kwa kulingana na anavyo waza.
Ila jambo moja kuu ni kwamba kwa triend ilivyo hadi sasa Ndege zinanuniliwa bila Business plan na tunazigeuza kama maua pale Air port.
Kwa kizazi kilichopo sasa huwenda hakitakuwepo wakati ATCL ina Break even make si chini ya miaka 100 kutoka sasa.
Hakuna mwenye kuishi umuri wa kobe hapa hivyo hatutakuwepo wote Duniani si wanao pinga na wala si wanao unga mkono.
Biashara ya ndege ni ngumu jamani Mashirika ya Waarabu wanachukua pesa ya mafuta wanaingiza kwenye ndege.
Huenda wajukuu wetu ndi wakaja kushuhudia ATCL ili break even