Ibrahination master
Member
- Jan 26, 2020
- 11
- 27
Sina wasi sina wenge, najua mpaka basi ila sina mbwembwe/Unaitwa huku Scars
Woooooi 😂😂😂😂😂 nimefurahi kinoma hizi punch zitabaki kuwa juuuu nasubiria kuwaona wengine wakiomba battle.Sina wasi sina wenge, najua mpaka basi ila sina mbwembwe/
Kuhusu uoga sina hata chembe, naheshimika kwasababu sina mambo ya kisenge/
Sina kikosi wala genge, nachinja peke yangu nikiwa sina mshika pembe/
Binti usinitege, sina huruma ntakuchapa hata kama sina nyege/
Mwanaume wa shoka sina jembe, kichwani na madini ila sina chepe/
Itikadi kali ila sina uchebe, wanasema nawachana japokua sina wembe/
Kila napoona biti ipo uchi naikonyeza,
mizuka ikpanda smetimes naibusu naichombeza,
sisubiri gesti hata chocho naibonyeza,
verse kali naulza ukivaaje unapendeza,
Ni vita ila kama hujui usiwake,
yanin rafki ambae hakujui kwnye chake,
uadui mbona mwake,
we hushangai msumari una nchi 6 ila hatumjui RAIS Wake?
Scars ndo chata la makovu, atheist pekee mwenye nyota ya wokovu/wenye chuki za moyon bdo wana kovu,
wanameza sabuni et wanitemee mapovu,
atafutae hachoki hawaoni ni
vipofu,
alienambia ni switch sjui ni ON ama OFF,
i can't rap hii ni trela,
kwa marap flan wanarap wanakela,
scar kama vannesa yule wa kisela,
hela znmalza shida na shda znamalza sana hela.
"Na panya hawi kunguru, kisa kazaliwa paka".Walimwengu sometimes wanachanganya
Unaweza shangaa mtoto wa paka kafaulu kwa njia za panya
Punch moja tu,huo mstari wa kisukariMarapa fake huwa nawala kama mboga,
nkisimama nko fresh kama mnara ama uyoga,
kwa punchlne nko juu SIFAI,
Mgonjwa wa kisukari namwongezea na dripu ya CHAI,
Maneno ya kuambiwa mi staki,
wanaweza sema rasta hali nyama anakula mishkaki,