Muuza simu used JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 4,393 Reaction score 7,108 Feb 27, 2022 #1 Leo nimetazama mechi ya klabu bingwa Africa kati ya Al Ahly vs Mamelodi sundowns hawajavaa logo yeyote ya mdhamini mkuu wa mashindano yaani CAF,je?logo hizi wanavaa tu baadhi ya timu ama kuna makubaliano maalumu kwa timu maalumu?
Leo nimetazama mechi ya klabu bingwa Africa kati ya Al Ahly vs Mamelodi sundowns hawajavaa logo yeyote ya mdhamini mkuu wa mashindano yaani CAF,je?logo hizi wanavaa tu baadhi ya timu ama kuna makubaliano maalumu kwa timu maalumu?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,983 Reaction score 1,252,319 Feb 27, 2022 #2 Labda wana makubaliano maalum
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,940 Reaction score 197,495 Feb 27, 2022 #3 Wameruhusiwa iwe hivyo...