johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Una hakika Kafulila hajawahi kutia Nia ya Ubunge kupitia CCM? ππJoni acha zako, Kafulila hajulikani CCM kabisa, wala hajawahi kuwa CCM, so acha kumweka katika list..!!
Kafulila hajawahi kuwa CCM, au Joni unaanza kupata mental disorders..!!
Kafulila???Magharibi - Mh Kafulila
Ni Dimanche.Kumbe leo jumapili
Ati nini?Ni Dimanche.
Dimanche/Domingo/Dominica.Ati nini?
SawaDimanche/Domingo/Dominica.
Siasa haiko hivyo ndio sababu Makonda kwake ni Misungwi na Kigamboni lakiniβ¦β¦ ππMara ya mwisho kwenda shule ya msingi na kuhitimu darasa la tatu chee nilijua kwamba Tabora lilipo Jimbo la uchaguzi kwa Bashe na Kigoma ni Kanda ya magharibi.
Unamchukulia poa kitu2 Tumbiri? πKafulila???
Yaani Kafulila kutia nia ya Ubunge CCM ndio kumuweka katika list ya Kingpin? Au hujui maana ya Kingpin? Joni vipi lkn? Hivi hujui watia nia Ubunge CCM wako hadi machwa tu kama Mwijaku, Baba Levo, Shilole, Darasa la 7 failure, wenye feki PhD kama Musukuma na wengine wengi hata hawajulikani, sasa kutia nia ndio awe kinara wa CCM kweli? Hivi Joni kwanini unashusha hadhi ya Chama chetu CCM hivi?Una hakika Kafulila hajawahi kutia Nia ya Ubunge kupitia CCM? ππ
Endelea na Ligi ππYaani Kafulila kutia nia ya Ubunge CCM ndio kumuweka katika list ya Kingpin? Au hujui maana ya Kingpin? Joni vipi lkn? Hivi hujui watia nia Ubunge CCM wako hadi machwa tu kama Mwijaku, Baba Levo, Shilole, Darasa la 7 failure, wenye feki PhD kama Musukuma na wengine wengi hata hawajulikani, sasa kutia nia ndio awe kinara wa CCM kweli? Hivi Joni kwanini unashusha hadhi ya Chama chetu CCM hivi?
Kafulila awe kinara wa CCM kweli? Please wahi Mirembe una tatizo kubwa Joni, sasa naanza kuamini wenye majina ya Joni wana tatizo katika Medula zao..!! Edit hapo kwenye post yako utoe aibu hiyo
Endelea na Ligi ππ
Jimbo gani? Huyo yuko CCM kimaslahi lakini ni mpinzani die hard!Una hakika Kafulila hajawahi kutia Nia ya Ubunge kupitia CCM? ππ
Mbona wepesi hivyo?Victoria - Mh Biteko
Nyanda za Juu - Dr Tulia
Kusini - Mh Salma
Kaskazini - Mh Makonda
Mashariki- Mh Ridhiwan
Kati - Mh Bashe
Magharibi - Mh Kafulila
Ahsanteni sana
Nawatakia Dominica njema π