kailakarama
Member
- Aug 30, 2014
- 73
- 30
Hakuna kitu hapa ACT na chadema wote majuha tu.
Upuuzi wako mpelekee mkeo!
Lipo jamaa moja huku kwetu,ukiliangalia linakichwa kikubwaaa! Ila jinga kweli.nilishabiki la yule mheshimiwa wa mahakama kutoka magharibi mwa tz,linasema anakokwendamheshimiwa na lenyewe hukohuko,nilipolichunguza,kumbe Lina ukabila na udini,ilepropaganda ya ccm ya udini na ukabila ililiteka ndiyo maana naliita llijinga.sasa hili nalo siku si nyingi litasema lilikuwa katibu mwenezi wa chadema linahamia act,linasubiri mheshimiwa atangaze nia ya kuhamia act.
Viongozi wa chadema shinyanga mjini wahamia ACT baada ya kuchoshwa na siasa za uzushi za chadema
Walio hamia ACT ni pamoja na Mwenyekiti wa kata ya kambarage ndugu Samwel dalla katibu muenezi kata Merchiory Tafuta, muhazini kata samuel raphael na kata ya chamaguha ni zacharia Samsoni mjumbe mkutano mkuu wilaya na dada misanya muhasibu wa tawi la kambarage
Pamoja na katibu wa solwa bwana Godwin Makomba a.k.a (shelembi mdogo).
Hakuna anaetoka ccm kuja act?
Hakuna kitu hapa ACT na chadema wote majuha tu.