itaendelea au...¿
akiendelea na yeye anaweza geuka mjinga mwingine bora arudi home na si tukose story
hahaaa inaonekana yeye yuko makini.......ngoja aendelee kutupa UPDATES
aya bwana kuwa makini waije kukuteka na wewe mkuu... dunuia duara lisije mzunguko ukakufikiaKwa wale walo taka updates naona wana peana namba nilichogundua wanampa namba za magari wala sio za simu na wanasema wakishapokea mahri mdogo wao akodishiwe tax ahaaaa wanalisha mayai yaani analishwa huku wengine wanampepelea looo namkumbuka mwimbaji wa super moja one bwana Moreno Batambaa alisema DUNIA DUARA
Kwa wale walo taka updates naona wana peana namba nilichogundua wanampa namba za magari wala sio za simu na wanasema wakishapokea mahri mdogo wao akodishiwe tax ahaaaa wanalisha mayai yaani analishwa huku wengine wanampepelea looo namkumbuka mwimbaji wa super moja one bwana Moreno Batambaa alisema DUNIA DUARA
hapo ukute ana mke kamwacha hana ht kumi..
Mungu atusaidie