Wajinga comedy lyrics

GIRITA

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
4,505
Reaction score
5,953
๐ŸŽต๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค๐Ÿ“ป๐Ÿ“ผ๐ŸŽง๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽต
Naanza kuwaza/Ujinga wa hawa
mafaza.๐ŸŽถ

Sisi ni wa afya bora/wao wa isiyo imara
Tupo mbali sana/wao nyuma kinoma
Tutatoa misaada/ikitokea kwao maafa๐ŸŽผ๐ŸŽต

Wako gizani/nuru hawana asilani
Si mchina mjerumani/wote twawaona hayani
Watutazama kwa hiyana/haya maajabu twayafanya
Malaria sugu hatuna/wao yawatafuna
Ukimwi tunaponya/wa siyo macho kuona๐ŸŽน๐ŸŽต๐ŸŽต

Mabeberu si mabwana/kwetu sisi ni wavulana๐ŸŽธ๐ŸŽต
Tazama wetu vijana/hawaendi kwao kusoma๐Ÿ’จ๐ŸŽต๐ŸŽต
Waomba,omba sana/mpaka twawachoka hahaaha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Vipi kuhusu korona/wao wazidi pukutika๐Ÿ˜ท๐Ÿ˜ท๐ŸŽถ
Sisi afya tumeimarisha/watuomba ifurumisha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐ŸŽถ

Itali inaangamia/sisi tunasubiria๐Ÿ˜ฏ
Kwetu ikifika/corona๐Ÿ˜ท๐Ÿ˜ท twaipukutisha
Tuna madaktari imara/India yatuhara
Tukusanyike misafara/Tuisifu yetu Sera
๐ŸŽบ๐ŸŽท๐ŸŽถ๐ŸŽถ
Wajinga nyinyi/hamtuoni sisi
Tu matajiri/kila mmoja ala firigisi
Mu dunia ya pilipili/sisi ya kwanza halisi
Corona aina ya kirusi/kilicho tengenezwa na sisi๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰

Imani yetu imara/Twafahamu ya mola
Tusubiri ikiripuka/Kama tutawaita
Mipaka kufunga/Tusubiri malaika
Ajali ikifika/saa na dAkikia tutaifurumisha!!!๐Ÿ“€๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽต

Wajinga wazungu/akili iliyo na ukungu
Sisi ni walimu/mwakosa ufahamu๐ŸŽถ
Hamuijui afrika/sisi twaitikisa!!!
Tanzania ya dunia/afrika yajivunia๐ŸŽถ
Technolojia yakua/vingi twa vumbua.๐Ÿ“ผ
๐ŸŽถ๐ŸŽต

Wazungu wazungu/acheni majungu
Akili za beberu/mjinga waruwaru.๐ŸŽถ๐ŸŽถ

******sent using daraja LA mfugale*****
 
#jikinge na corona,covid-19.
-inaua bila kuchagua-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ