Wajenga nchi endeleeni

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,841
Mi nitapaka rangi...
 

Attachments

  • 1526777_421498841329400_652647238_n.jpg
    9.8 KB · Views: 673
Mkuu huyo hana wasi wasi na kanchi hii yeye ni kuamka saa atakayo na huchota atakavo kama maji ya bomba na wala hamsimi mtu na hakuna wa kumkemea ni kucheka na kutabasamu tuu
 
Hii ndiyo hali halisi wapaka rangi wapo wengi sana sahizi
 
kukomaaaa tutakomaa wengine na raha watapata marahaa!!!

ngoja niende kujenga nchi....

Sijui nani atanisaidia kupaka rangi.....
 
Nimecheka sana aisee, kumbe na mimi nipo kwenye team wapaka rangi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…