Wait, Redmi amefanya hivi?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,284
Reaction score
2,593


Kwa hii Redmi hapa Wamepitliza Aiseeh

Kuna simu mpya ya Redmi inakuja lakini uwezo wake sasa 🔥🔥, inaweza kuifanya iwe moja ya simu zenye battery kubwa zaidi kwenye flagship za mwaka huu.

Redmi K100 Pro Max 9,070mAh 🔋 + 185Hz ⚡ kwenye simu moja?! 🔥📱 inakuja ikiwa na battery kubwa sana, display ya 185Hz na 200MP camera! 😳

kwa ufupi tu:
🔥 9,070mAh Battery
⚡ 100W Fast Charging
📱 185Hz AMOLED Display
☀️ Hadi 4,500 nits brightness
📸 200MP Main Camera
🔭 50MP Periscope + 5× Optical Zoom
🚀 Snapdragon 8 Elite Gen 5
🔊 Bose-tuned 2.1-channel speakers.

𝗛𝗶𝗶 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗶𝗺𝗲𝗸𝘂𝗷𝗮 𝗸𝘂𝗽𝗶𝗴𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗽𝗼𝘄𝗲𝗿 𝗯𝗮𝗻𝗸 𝗸𝗮𝗯𝗶𝘀𝗮 😂🔥 𝗨𝗻𝗴𝗲𝗶𝗻𝘂𝗻𝘂𝗮? 👀👇
 
Kampuni pendwa vp bei ikoje
 
Kama ni simu yenye battery kubwa sio maajabu maana kuna brand za kichina zina mpaka 20,000Mah kama Oukitel nk.labda sababu ya hiyo processor na brand kubwa kidogo kuliko wachina wengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…