King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,433 Reaction score 88,780 Jan 3, 2014 #2 Wapi huko? Kwa kina hamijei?
vyuku JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 503 Reaction score 87 Jan 3, 2014 #3 Hata dar zilikuwepo lkn waonekana bado ulikuwa hujaja dar upo mikoani,lkn zilikuwepo sana tu
Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,856 Reaction score 22,191 Jan 3, 2014 #4 King Kong III said: Wapi huko? Kwa kina hamijei? Click to expand... Hapa ni posta ya zamani upande wa baharini karibu na Azania front, hii itakuawa ni miaka ya '92 - '93
King Kong III said: Wapi huko? Kwa kina hamijei? Click to expand... Hapa ni posta ya zamani upande wa baharini karibu na Azania front, hii itakuawa ni miaka ya '92 - '93
kalamata Senior Member Joined Apr 16, 2011 Posts 144 Reaction score 29 Jan 3, 2014 #5 Do! Nchi hii raha kwelix2.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jan 3, 2014 #6 Chamoto said: Hapa ni posta ya zamani upande wa baharini, hii itakuawa ni miaka ya '91 - '93 Click to expand... hapa penyewe.....
Chamoto said: Hapa ni posta ya zamani upande wa baharini, hii itakuawa ni miaka ya '91 - '93 Click to expand... hapa penyewe.....
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,394 Jan 3, 2014 #7 Kia left handdrive zimeua sana hizo mwanzoni
Chumchang Changchum JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 6,134 Reaction score 6,419 Jan 3, 2014 #8 Kitambo kweli kweli
Z zedon Member Joined Jun 29, 2009 Posts 26 Reaction score 8 Jan 3, 2014 #9 Nilizitumua sana Isuzu Moshi-Arusha zilitumia kama masaa matutu! Duuh! kitambo.
KingRay JF-Expert Member Joined May 5, 2013 Posts 516 Reaction score 291 Jan 3, 2014 #10 Dah...umenikumbusha mbali sana enzi hizo mzee wangu anamiliki hii kitu kwenda vijijin dah...jaman...spika za mziki ilikua sufuria imekatwa nakuwekwa juu...nakupigwa kanda za..... sauti ikatoka huyu ni .......
Dah...umenikumbusha mbali sana enzi hizo mzee wangu anamiliki hii kitu kwenda vijijin dah...jaman...spika za mziki ilikua sufuria imekatwa nakuwekwa juu...nakupigwa kanda za..... sauti ikatoka huyu ni .......
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,556 Reaction score 21,694 Jan 3, 2014 #11 Kuna magari wakati huo yalikuwa yanaitwa mbuyeku miaka ya 92
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,433 Reaction score 88,780 Jan 3, 2014 #12 Chamoto said: Hapa ni posta ya zamani upande wa baharini karibu na Azania front, hii itakuawa ni miaka ya '92 - '93 Click to expand... Yap yap I get the photo,yes it is.
Chamoto said: Hapa ni posta ya zamani upande wa baharini karibu na Azania front, hii itakuawa ni miaka ya '92 - '93 Click to expand... Yap yap I get the photo,yes it is.