poleni na majukumu wakuu! moja kwa moja kwenye suala lenyewe ni hv' nime download app ya Jamiiforums PlayStore nika sign in ikawa fresh ila kuna matata yaliyo tokea kwenye simu nikalazimika kui_restor so nikalazimika kui download upya hio app ila ss haitaki ku sign in tena inaandika connecting to server dk kibao then inakata! nifanyeje nisaidieni natanguliza shukrani
Sasa kama inakataa kusign in umeandikaje hii post au we ni mwanamazingaombwe?
nimejaribu kutumia hii trick several tymz ila imegoma kabisa na net ipo poa coz vtu vingine vyote vinapiga kazi freshStaki kuamini kama upeo wako wa kufikiri umekomea hapo
Mleta mada jaribu kuitoa na kisha install upya
Angalia pia internet connection yako kama ipo ok
Staki kuamini kama upeo wako wa kufikiri umekomea hapo
Mleta mada jaribu kuitoa na kisha install upya
Angalia pia internet connection yako kama ipo ok
nilichokifanya nimetumia opera browser' mpaka dk hii nipo kwenye opera
angalia internet connection yako make sure APN ni Internet then igia kwenye application zako then chagua all then tafuta play store clear data na cache then restart jaribu tena