Wahi uzinduzi: Bunge modern taarabu.

Joined
Dec 11, 2010
Posts
3,321
Reaction score
6,331
BUNGE MODERN TAARAB inawakaribisha mashabiki wake kwenye uzinduzi wa albam yao mpya kabisa iliyobeba nyimbo kali.

1. Mkuki kwa nguruwe... ( Anna Makinda)

2. Mimba zisizotarajiwa (Livingstone Lusinde)

3. Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa ( Juma Nkamia)

4. Come on f** you (Peter Serukamba)

5. Toka nje shenzi (Ndungai J).

6. Kibanda ni nani? (Wassira)

Wahi uzinduzi na nunua nakala halisi ili kuwainua wasanii nchini.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
na single za 'wenye mimba zisizotarajiwa' na 'mawaziri wapumbavu' mbona umezisahau?
 
mwache mwenye thread aseme basi..

Vibao vingine vikali kama kile "mme bugi men" cha mzee wa bastola kitatumbuizwa wageni waalikwa wakiwa wanaingiia ukumbuni.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Itifak itaznqatiw pia hvyo basi waqen waalkw wote mnaombwa kutulia ili kupata upembuz yakinifu wa kbao cha serikal iliyovaa miwani ya mbao karibu.
 
Akili ndogo kutawala akili kubwa (Msigwa) mbowe&Dr.Slaa
 
“Bunge Modern Taarabu inawakaribisha mashabiki wake kwenye uzinduzi wa albamu yao mpya kabisa iliyobeba nyimbo zifuatazo:
“1. Mkuki kwa nguruwe…. (Anne Makinda) 2. Mimba zisizotarajiwa… (Livingstone Lusinde) 3. Siongei na mbwa, naongea na mwenye mbwa…( Juma Nkamia) 4. Come on fu… you… (Peter Serukamba) 5. Toka nje shenzi…(Job Ndugai).

Wahi uzinduzi na nunua nakala halisi ili kuinua uchumi wa wasanii hawa walioko bungeni.”

Nimeipata Tanzania Daima 8/5/2013 kutoka kwa Mwl mkuu wa watu: Rais wangu Kikwete

Kama kuna nyingine ongezeeni ili kunogesha albamu. Kuna hii: Liwalo na liwe(Pinda)
 
Kaka hapa napita
 
Jina la album ni " Your Impotent" na kibao cha ufunguzi kiitwacho "Hakuna cha Mwongozo wala Taarifa" kitapigwa kwa ushirikiano wa maspika wote wawili.
 
Kama wataka weupe watufute tuwape mbegu... BILA SHAKA SINGLE HII ITAHIT SANA.
 

ha ha ha ha ha
 
Ukumbi ndo idodomya ama wapi?

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…