Waheshimu machangudoa wote duniani!

Wengine wazee wa kimya kimya.

Hapa wanajifanya wanaponda
 
Wanyama Nyumbu nao wanatambua wakati.
Wanatambua majira ya kuishi mbugani Serengeti na mbugani Masai Mara.
Muda wa kutoka mbuga moja Hadi nyingine unakuwa mgumu Sana lakini hukabiliana nao.
Wengine hufa njiani kwa kulia na Mamba wanapovuka Mito, wengine hufa kwa uchovu wa safari, wengine huliwa na wanyama walanyama.
Ni safari ngumu lakini kwakuwa wanatambua wakati hulazimika kuitana kujikusanya na kuikabiri safari.
Wanyama wakufugwa nao huwa wanawatambua wanao wafuga.
Mbwa humtambua mfugaji wake, anayempa chakula.
Kama anavyotambua myama Paka, au Ng'ombe au Mbuzi au Punda.
Tunashindwaje sisi, sisi tuliojaaliwa busara na hekima...!
Sisi wenye wingi wa Maarifa, wingi wa Busara, wingi wa Akili, wingi wa Hekima.
Sisi tunashindwaje kuvumilia safari kama Nyumbu.
Au kumtambua Bwana anayetupa mahitaji kama Punda anavyomtambua anayemfuga...!
Kwanini sio sisi na kwanini ni sisi...!
Sisi binadamu
 
Kiufupi, mapenzi ya mwanaume na mwanamke automatically ni kuna chembechembe za hiyo biashara, inatofautiana viwango tu
 
Ila pia kuna mahali Yesu alituonya kuwa tuwe makini kwani watu kama hawa wanawanaweza kututangulia kuingia mbinguni
 
njombe wana maadili gani ?Yani watu wanapigana miti,wanazungukana af wanapata ukimwi kisha unasema eti wanamaadili acha ujinga, ukimwi hauambukizwi kwa kuchangia glass ya maji.Kuna mbena mmoja akasema eti njombe wanamaabukizi ya juu kwa sababau hawatairi! Nilimshangaa sana sana,Hivi makabila mangapi Tanzania hawatairi mbona hawana maambukizi kama njombe? Hivi wasukuma wanautamaduni wa kutahiri kama wamasai,mbona maambukizi sio kama njombe? Tuacheni umalaya ukimwi utatumaliza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] broo upo ulaya nn
If you mind your business life becomes easier for both sides.

Kukaa na kunyooshea watu vidole kuhusu usafi na uchafu haileti faida yeyote kwako.

Huna mamlaka ya kukemea chochote.

Mafarisayo na masadukayo ndo wanajiona wao bora kuliko wengine.
 
Uzi unahitaji utulivu huu acha nikipata muda nitatembea nao vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…